Ukivuka tu 35 zingatia haya:
1. Jua BP yako ikoje
2. Jua sukari yako ikoje
3. Jua cholesterol yako ikoje
4. Jua moyo wako ukoje
5. Jua Cardiovascular system yako ikoje
6. Jua peak ya mapigo yako ya moyo
7. Pata ushauri wa daktari kabla ya kumeza viagra au booster nyingine
Miaka 78 sasa. I have lost more than 6 close friends kwa ujinga huu wa kufakamia viagra bila kupima presha na cardiovascular systems. RIP Rafiki yangu mzee Guga wa Bariadi. RIP Mzee Sayi wa Misungwi kwa mshtuko wa moyo siku ile ukihangaika na Amina Iselamagazi Ng'wenekele....Aaaaargh! So painful!