Mfanyabiashara Simon Mbowe (52) afia gesti akiwa na binti wa miaka 27 Songea

Ni masikitiko mkuu, afya kwanza aisee..

Hawa wanaoleta story za kua wapo vizuri kitandani wengi ni waongo. Sasa akili ndogo hudhani kua basi wao ni goigoi kumbe wako sawa tu ni vile tu wao hapendi kudanganya, wanayachukua na kwenda kutafuta means ya kuwakomesha Ke ili kwenye story waje na story za kweli ilhali wenzao wanadanganya kufurahisha gang.
Utaskia "nilipga zangu vitatu ikabidi nisepe...nilikuwa na haraka sana"😅😅😅
 
Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma limetoa taarifa za kufariki kwa mfanyabiashara Simon Mbowe (52) ndani ya nyumba ya wageni (Gesti House), tarehe 19, Februari 2025 huko Matawale wilayani Songea ambapo kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Marco Chilya amesema Simon amekutwa akiwa na mpenzi wake aliyefahamika kwa jina Salome.

Erecto gram 100 hiyo kazi yake!!
 
Wamekufa wote au yeye tu? Maana habari yako Ina utata
 
Miaka 27 sio binti, ni mwanamke mtu mzima.

Jamaa nampongeza sana. Amekufa kijasiri na kushujaa sana, ni sawa na nzi kufia kwenye kidonda.

Pumzika kwa amani shujaa, vita umevipigana, imani umeitunza na heshima umeilinda.
 
Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma limetoa taarifa za kufariki kwa mfanyabiashara Simon Mbowe (52) ndani ya nyumba ya wageni (Gesti House), tarehe 19, Februari 2025 huko Matawale wilayani Songea ambapo kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Marco Chilya amesema Simon amekutwa akiwa na mpenzi wake aliyefahamika kwa jina Salome.

Huu ni upuuzi mnafanya kama vile ukiwa zaidi ya miaka 50 huwezi kufanya mapenzi!. Uzee wadogo unaaza miaka 65 sio 50. Ukiwa na miaka 50 unaitwa umri wa kati au middle age sio mzee. Kama huyo mtu alikuwa na matatizo mengine hata angekuwa na mwanamke wa miaka 40 ingetokea tuache kudanganyana.
 
Back
Top Bottom