Mfanyabiashara Simon Mbowe (52) afia gesti akiwa na binti wa miaka 27 Songea

We umejuaje😂😂😂
Kawaida Mwanaume akifika miaka kuanzia 40 nguvu huanza kuisha

Kwahiyo ili uendane na Kasi, wengi huamua kujiboost na Viagra

Kumbuka Wanaume wengi wenye umri kuanzia miaka 40 kuendelea, hupenda kudate na mabinti wa Umri wa miaka 19 hadi 27 hapo

Imagine Kasi ya mabinti wa Umri huo Kwa Mzee wa miaka 52 😜
 
Wan
Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma limetoa taarifa za kufariki kwa mfanyabiashara Simon Mbowe (52) ndani ya nyumba ya wageni (Gesti House), tarehe 19, Februari 2025 huko Matawale wilayani Songea ambapo kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Marco Chilya amesema Simon amekutwa akiwa na mpenzi wake aliyefahamika kwa jina Salome.

Watoto wa kingoni hatari sana kuna mmoja bila kutumia mbinu za medani siku ile alikuwa anitoe KO.
Mangi alale mahali pema peponi kafa kishujaa.
 
Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma limetoa taarifa za kufariki kwa mfanyabiashara Simon Mbowe (52) ndani ya nyumba ya wageni (Gesti House), tarehe 19, Februari 2025 huko Matawale wilayani Songea ambapo kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Marco Chilya amesema Simon amekutwa akiwa na mpenzi wake aliyefahamika kwa jina Salome.

miaka 27 ni binti?
 
Back
Top Bottom