pesakilakitu
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 1,618
- 2,861
Wanataka kukomoa ..sasa haya mambilimbi hayariziki ukikomoa ni kama unajikomoa mwenyewe mwisho wa siku unakufa kifo Cha aibu. Haya tuyaache yasagane yenyewe kwa yenyeweKusema kweli katika vitu naogopa kufanya ni kushiriki ngono Kwa usaidizi wa Viagra ama dawa za kuongeza nguvu za mapenzi
Kwani ukipiga kimoja cha sekunde 25 unakuwa hujainjoi [emoji847]