Mfanyabiashara Simon Mbowe (52) afia gesti akiwa na binti wa miaka 27 Songea

Mfanyabiashara Simon Mbowe (52) afia gesti akiwa na binti wa miaka 27 Songea

Sa mtu ka huyo anahangaishwa na nini?

Si bora atulie tu aachie vijana hiyo michezo. 🤣🤣
Tutafanyaje wakati kawaida Mwanaume anayekula vizuri, Kwa Siku anazalisha mls za kutosha za shahawa ambazo bila kuzitoa atakuwa kama mwehu

Kwahiyo solutions ili kulinda afya unapiga kimoja baada ya Mwezi mmoja Kwa sisi Wazee, unapiga kimoja kingine hivyo hivyo
 
Kusema kweli Mungu atusaidie Wanaume, yaani tunatumia nguvu nyingi kumridhisha Mwanamke ambaye inawezekana tumetumia hela nyingi kumpata

Hela ya kwako na bado uhangaike kumridhisha [emoji119]
Na Bado mwisho wa siku unakufa ukiwa juu ya kifua chake...upuuzi na ushenzi
Bora hio hela kuanzia kumfukuzia Hadi kumpata ungemtumia hata mzee wako kijijini kule ama mama mzazi ungechota mibaraka tele...
 
Na Bado mwisho wa siku unakufa ukiwa juu ya kifua chake...upuuzi na ushenzi
Bora hio hela kuanzia kumfukuzia Hadi kumpata ungemtumia hata mzee wako kijijini kule ama mama mzazi ungechota mibaraka tele...siku hizi si Wana LGBTQ wasagane tu waoane huko [emoji706]
Ngono ni hitaji la Kumbe hai hasa Mwanaume

Kutokana na maumbile yetu Wanaume, ngono ni hitaji la lazima

Ila hutakiwi kuendeshwa nalo kiasi cha kuanza kutumia Viagra ili kumfurahisha Mwanamke
 
Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma limetoa taarifa za kufariki kwa mfanyabiashara Simon Mbowe (52) ndani ya nyumba ya wageni (Gesti House), tarehe 19, Februari 2025 huko Matawale wilayani Songea ambapo kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Marco Chilya amesema Simon amekutwa akiwa na mpenzi wake aliyefahamika kwa jina Salome.

Askari kafia uwanja wa vita.
 
Habari za watu kufia gesti zimeongezeka sana..
if they pass away while performing a courageous act, sacrificing themselves for a greater good, and are therefore remembered as heroes even in death :CaptFailFish:
 
Back
Top Bottom