Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Nacheka kama mazuri, kumbe tupo msibani!Nyapu imezima kidume!" ! Nasikikiaga watu wazima 50+ performance hushuka sana., sasa mtu anatumia madawa kujibust, ili aendane na kasi ya mtoto wa elfu 2, mwisho wa siku presha inamchukua