Mfanyabiashara Simon Mbowe (52) afia gesti akiwa na binti wa miaka 27 Songea

Mfanyabiashara Simon Mbowe (52) afia gesti akiwa na binti wa miaka 27 Songea

Ni heri nisipige papa kama imefikia hatua ya kujiboost, au nipige chini ya kiwango. 40+ Me unatakiwa uijali afya yako kwanza.

Huko lodge ukifikiria risks unaweza usiende, maana hata binti anaweza kufia huko, sijui utaambia nini familia yako.
 
Upande mmoja mzazi wangu ni mchaga so na damu ya kichaga na hata ikitokea ukiniona first time utajua Mimi ni mchaga.

After long time sikwenda nyumbani mama akaniita jina la mdogo ake AMBAE ni mjomba wangu.

Ephen kwa Nini umeniuliza ivyo.? Am curious.
Nilidhani wewe ni mchaga, napenda wachaga mimi ila wale ambao hawana meno ya chocolate
 
Back
Top Bottom