Mrs Byesige
JF-Expert Member
- Nov 5, 2019
- 862
- 1,549
Kumbe mnaweka midomoni?watu mna siri?Kuna mtu fulani aliwahi kuiweka mdomoni Mwaka 47
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe mnaweka midomoni?watu mna siri?Kuna mtu fulani aliwahi kuiweka mdomoni Mwaka 47
Kwanini unasema hivyo?Wewe ni mchaga?
Wewe ni mwanasheria?🤔Kwanini unasema hivyo?
Mimi mwenyewe sina. 😅😅Nilidhani wewe ni mchaga, napenda wachaga mimi ila wale ambao hawana meno ya chocolate
Umejuaje kwamba anachepuka wakati hiyo habari haijasema ikiwa Mangi ana mke/mchumba?!Aibu mtu mkubwa anachepuka .
Ila wewe sio mchagaMimi mwenyewe sina. 😅😅
Mimi sio mwanasheria bali ni kaka yako🤔Wewe ni mwanasheria?🤔
😂😂😂😂Wewe mkorofi sana sikuwezi😂
Leo najihisi hovyohovyo tu ndio maana majibu ya rejareja yameongezekaMimi sio mwanasheria bali ni kaka yako🤔
Njoo tulewe wote madame 😊😂😂😂😂
Yes Mimi sio mchaga. Ila na damu ya kichaga hata ukiniona tu utajua Mimi ni mchaga labda niamue kusema Kama ambavyo nimekwambia wewe. Ila wengi napo kaa watu wengi hujua Mimi ni mchaga. Ila uchaga wangu unatoka kwa mama.Ila wewe sio mchaga
Yaongezeke zaidi , tunaenda kula wap urojo?Leo najihisi hovyohovyo tu ndio maana majibu ya rejareja yameongezeka
Siendi, nimekatazwa kutumia manjanoYaongezeke zaidi , tunaenda kula wap urojo?
Sek 25 ni kama michomo 50! Mingi sana hiyo na unapiga bao safi!Kwa kweli ni Ujinga, binafsi nimechagua kwenda round moja tu ya sekunde 25 basi
Kifo cha utata Cha Dr.!Viagra ilimuondoa makamu wa rais
Nadhani ilikuwa ni njia ya kutaka Kula pension yangu, maana yule binti alijituma sana Siku ile 😜Kumbe mnaweka midomoni?watu mna siri?