Mfanyabiashara Simon Mbowe (52) afia gesti akiwa na binti wa miaka 27 Songea

Mfanyabiashara Simon Mbowe (52) afia gesti akiwa na binti wa miaka 27 Songea

Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma limetoa taarifa za kufariki kwa mfanyabiashara Simon Mbowe (52) ndani ya nyumba ya wageni (Gesti House), tarehe 19, Februari 2025 huko Matawale wilayani Songea ambapo kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Marco Chilya amesema Simon amekutwa akiwa na mpenzi wake aliyefahamika kwa jina Salome.

Jamaaa kafia pale pale alipotokea. Hii tamu na mie naombea kifo cha namna hii
 
Kawaida Mwanaume akifika miaka kuanzia 40 nguvu huanza kuisha

Kwahiyo ili uendane na Kasi, wengi huamua kujiboost na Viagra

Kumbuka Wanaume wengi wenye umri kuanzia miaka 40 kuendelea, hupenda kudate na mabinti wa Umri wa miaka 19 hadi 27 hapo

Imagine Kasi ya mabinti wa Umri huo Kwa Mzee wa miaka 52 😜
Dogo anakudanganya nani miaka 40 nguvu zinaanza kuisha? Hapa gari ndio inawaka moto muulize shangazi yako atakusimulia
 
huwa nasema kwamba uzee ndo muda halali wa kufanya punyeto,

wazee wengi wana zile hisia lakini nguvu ya kazi hawana, na magonjwa hatarishi juu,

inaweza onekana mzaha ila wazee wapige nyeto tu, waachane na wanawake.
Mzee na punyeto wapi na wapi? Kwanza hisia za punyeto hakuna hata ukijaribu unaona ni tàkataka tuu unaacha. Mzee hadi upate stimu lazima kabinti kakushikeshike nyeto hapana.
 
Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma limetoa taarifa za kufariki kwa mfanyabiashara Simon Mbowe (52) ndani ya nyumba ya wageni (Gesti House), tarehe 19, Februari 2025 huko Matawale wilayani Songea ambapo kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Marco Chilya amesema Simon amekutwa akiwa na mpenzi wake aliyefahamika kwa jina Salome.

Kulikuwa na sababu gani ya kutaja habari zote hizo za faragha za marehemu?
 
Back
Top Bottom