Mfanyabiashara Simon Mbowe (52) afia gesti akiwa na binti wa miaka 27 Songea

Mfanyabiashara Simon Mbowe (52) afia gesti akiwa na binti wa miaka 27 Songea

Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma limetoa taarifa za kufariki kwa mfanyabiashara Simon Mbowe (52) ndani ya nyumba ya wageni (Gesti House), tarehe 19, Februari 2025 huko Matawale wilayani Songea ambapo kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Marco Chilya amesema Simon amekutwa akiwa na mpenzi wake aliyefahamika kwa jina Salome.

Sidnafil citrate a k.a BLUE PILLS 🔵 WALIO SOMEA CUBA WAMENIELEWA.
 
Back
Top Bottom