Mfanyabiashara ukifunga camera na hata ukitaka ushinde hapo 24/7 mfanyakazi akiamua kuiba ataiba tu

Haika Kimaro

Member
Joined
Dec 25, 2025
Posts
12
Reaction score
42
Kwa wafanyabiashara ambao hamjui vile mnaibiwa na wafanyakazi hata kama mmefunga camera.

Iko hivi, mteja akifika dukani atachagua vitu anataka, wakati wa kufanya malipo mfanyakazi asiyekuwa mwaminifu atamwambia gharama yake halisi mfano 200K kisha atamwambia anaweza kulipia 20K na risiti atapewa ya 20K na ataondoka na vitu vyote, hapo atahakikisha kiasi cha pesa alicholipia kinalingana na moja ya bidhaa ili kwenye risiti ya efd aseme ameuza kitu fulani.

Kifuatachi atampa mteja namba yake amtumie 50K kwa simu au utapokea cash, so hapo mteja anagharamika Sh 70K anasave 130K ya laana. Mwenye biashara umekula hasara na TRA imekosa mapato.

Hapo inategemea na mteja mwenyewe kama na yeye sio mwaminifu ndio ushakula hasara mbele ya camera.

Kwa wale ambao mmeweka mtu wa security mlangoni na kukagua risiti na bidhaa zinazotoka nje ya duka sio wajinga lazima ashirikiane na cashier/mfanyakazi ili kufanikisha.

Mmiliki unajua unamlipa mfanyakazi wako mshahara labda 500K mwisho wa mwezi kumbe mwenzio huwa anajilipa vizuri kwa siku, huo mshahara wako wa mwisho wa mwezi kwake ni bonus.

Hapo mmiliki utabaki kulia hasara unashangaa dukani camera zipo na wakati mwingine unashinda hapo unaona wateja wanavyoingia na kutoka lakini bado unapata hasara unawaza huelewi kumbe wenzio wasiokuwa waaminifu wanakuchezea.

Sasa mfanyakazi anaweza kucheza hivyo na stranger vipi siku akikutana na mtu anayemmudu kama sio kukuosha.
 
mfanyakazi mwingine akienda store kuchukua mzigo wa mteja anaubadilisha kama boksi ni la mzigo X Basi ilo box linawekewa mzigo Y ambao una thamani zaidi ya mzigo X namteja anasepa zake then wanamalizana na mfanyakazi wa sukani namna walivyo kubaliana
 
Na kama cashier ni mimi mwenyewe mmiliki wa biashara, na nimeweka cctv, bado wafanyakazi watanipiga?
 
ASILIMIA 56.87 YA WENYE MADUKA N WEXI ZILE MALI NYINGI HAZILIPIWI KODI KWAHIO RELAX KILA MTU ALE OFISINI KWAKE KAMA KWAKO HALIPI TUKUPE MCHONGO WA KUJILLIPUA HAKIKISHA UMEANDIKA URITHI TU
 
mfanyakazi mwingine akienda store kuchukua mzigo wa mteja anaubadilisha kama boksi ni la mzigo X Basi ilo box linawekewa mzigo Y ambao una thamani zaidi ya mzigo X namteja anasepa zake then wanamalizana na mfanyakazi wa sukani namna walivyo kubaliana
Watakuja kulia vibaya sio kila mtu anakubali kuibiwa😥
 
NINAJAMAA KAWEKA CCTY ANAUZA YEYE NA MKEWE KIMARA MWISHO WANAISHI NILIENDA KYTATUA MZOZO.MAMA ANASEMA BABA ANAMPIGA HELA HAZIONI MAMA ANAKUJA NA VITABU IDADI YA VITU WALIVYOWEKA NA ILIOPO SASAA

MJUKUU WA C.MWANDAMBOO MM NIKACHOKAA KABISAA KYLETA AMANI NKASHAURI ILE CCTV ITOKE KABISAA WANZE UPYA

SASA KAMA.MKE NA MUME
WANAPGANA SEMBUSE MUUZA DUKA NAKUNYOOSHA VIZURI TU
 
HATA HUKU MAOF8SIN TUSHAAMBIWA TULE UREFU WA KAMBA ZETU UKIULIZA KUNYWA TUNAKUNYWAJE AWASEMI YAAN PIGA TU MKUU AKUNA JINSI

OPP HAIJI MARA MBILI KAMA YANGA
 
Duh, kuiba lazima hata kama mfanyakazi n mlokole kivipi. Mimi mwaka mwaka 2008 na 2009 nilifanya mchongo na mteja tukaibia mhindi cement 50 kwa ck moja hakujua. Ilikuwa hivi, kipindi hicho risiti ilikua n ya kuandka unampa mteja anaenda kutafuta usafiri akichukuchua mzigo wake anakupa risiti unatafuta ulipolichana unaweka carbon unatick kuwa amechukua sasa hiyo cku wakanikuta mimi wakanionyesha risiti nkamwonesha boss ila nkabaki nalo mim wakaanza kusomba mzigo hadi wakamaliza jion yake nkatafta yuleyule mteja nkachora dili akakubali nikamwachia risiti baada ya cku 2 akaja kudai mzigo tena akiwa na wabebaji kabisaa akaonyesha risiti akapewa mzigo wake akaenda zake jion baada ya kaz akaniita mwenyewe nkaenda akanihesabia laki 6 yeye akabaki na 150 unusu nkasepa zangu sa mchezo ukabaki n huo kila akija yeye analipia mzigo anaenda na risiti anatuma watu wanakuja kuchukua mzigo mim nabak na risiti afu na mrudishia anarudi ye mwenyewe akiwa tayar na wabebaji mchezo unaisha i thank god nilijenga kwa mfumo huo
 
Back
Top Bottom