Mfanyabiashara ukifunga camera na hata ukitaka ushinde hapo 24/7 mfanyakazi akiamua kuiba ataiba tu

Mfanyabiashara ukifunga camera na hata ukitaka ushinde hapo 24/7 mfanyakazi akiamua kuiba ataiba tu

Akiangalia ma cctv yake kila kitu kipo sawa lakin hasara anapata sa usiombe uwe na mfanyakazi afu apate wateja kama 3 wahuni naapa utafilisika mchana kweupe iyo hardware tuliifirisi mhindi akarudi kwao bila kujua alivofilisika cctv imetengenezwa na binadamu so haiwezi kumzidi binadamu akili
 
Wewe ni katili sana
 
Duh, kuiba lazima hata kama mfanyakazi n mlokole kivipi. Mimi mwaka mwaka 2008 na 2009 nilifanya mchongo na mteja tukaibia mhindi cement 50 kwa ck moja hakujua. Ilikuwa hivi, kipindi hicho risiti ilikua n ya kuandka unampa mteja anaenda kutafuta usafiri akichukuchua mzigo wake anakupa risiti unatafuta ulipolichana unaweka carbon unatick kuwa amechukua sasa hiyo cku wakanikuta mimi wakanionyesha risiti nkamwonesha boss ila nkabaki nalo mim wakaanza kusomba mzigo hadi wakamaliza jion yake nkatafta yuleyule mteja nkachora dili akakubali nikamwachia risiti baada ya cku 2 akaja kudai mzigo tena akiwa na wabebaji kabisaa akaonyesha risiti akapewa mzigo wake akaenda zake jion baada ya kaz akaniita mwenyewe nkaenda akanihesabia laki 6 yeye akabaki na 150 unusu nkasepa zangu sa mchezo ukabaki n huo kila akija yeye analipia mzigo anaenda na risiti anatuma watu wanakuja kuchukua mzigo mim nabak na risiti afu na mrudishia anarudi ye mwenyewe akiwa tayar na wabebaji mchezo unaisha i thank god nilijenga kwa mfumo huo
Wewe inabidi sasa ukatubu, unalala kwenye nyumba iliyotokana na wizi na unapata usingizi vizuri😀 usije ukaungulia kwa hiyo nyumba
 
yeye ndo alileta ukatili wa kutufungia cctv hadi chooni mhindi ana dharau kama hujui ndugu yangu sana sana hawa ambaoo hawali nyama ya ngombe anakutukana hata mbele ya wateja bora hata ya mchna mara kumi
Hongera..usijitetee..safi sana Kwa kumbutua
 
Back
Top Bottom