Haika Kimaro
Member
- Dec 25, 2025
- 12
- 42
kivipi mtu mzigo wa laki 3 akiuza laki 150 hapo aliepoteza si ni mmiliki wa duka au?, maana kwa hiyo 150k risiti anatoa so TRA wanapata chao piaHapo kaibiwa TRA sio mmiliki
weka mbinu zao hapa kama kweliHaika kimaro mbinu mlizo niibia nazo ni zakitoto sana , msifikiri sijang'amua wizi wenu🚮
Siweki na sio kweli , utafanya nini kwani?weka mbinu zao hapa kama kweli
Na kama cashier ni mimi mwenyewe mmiliki wa biashara, na nimeweka cctv, bado wafanyakazi watanipiga?Kwa wafanyabiashara ambao hamjui vile mnaibiwa na wafanyakazi hata kama mmefunga camera.
Iko hivi, mteja akifika dukani atachagua vitu anataka, wakati wa kufanya malipo mfanyakazi asiyekuwa mwaminifu atamwambia gharama yake halisi mfano 200K kisha atamwambia anaweza kulipia 20K na risiti atapewa ya 20K na ataondoka na vitu vyote, hapo atahakikisha kiasi cha pesa alicholipia kinalingana na moja ya bidhaa ili kwenye risiti ya efd aseme ameuza kitu fulani.
Kifuatachi atampa mteja namba yake amtumie 50K kwa simu au utapokea cash, so hapo mteja anagharamika Sh 70K anasave 130K ya laana. Mwenye biashara umekula hasara na TRA imekosa mapato.
Hapo inategemea na mteja mwenyewe kama na yeye sio mwaminifu ndio ushakula hasara mbele ya camera.
Kwa wale ambao mmeweka mtu wa security mlangoni na kukagua risiti na bidhaa zinazotoka nje ya duka sio wajinga lazima ashirikiane na cashier/mfanyakazi ili kufanikisha.
Mmiliki unajua unamlipa mfanyakazi wako mshahara labda 500K mwisho wa mwezi kumbe mwenzio huwa anajilipa vizuri kwa siku, huo mshahara wako wa mwisho wa mwezi kwake ni bonus.
Hapo mmiliki utabaki kulia hasara unashangaa dukani camera zipo na wakati mwingine unashinda hapo unaona wateja wanavyoingia na kutoka lakini bado unapata hasara unawaza huelewi kumbe wenzio wasiokuwa waaminifu wanakuchezea.
Sasa mfanyakazi anaweza kucheza hivyo na stranger vipi siku akikutana na mtu anayemmudu kama sio kukuosha.
Anauzaje mzigo wa 300K kwa 150K?kivipi mtu mzigo wa laki 3 akiuza laki 150 hapo aliepoteza si ni mmiliki wa duka au?, maana kwa hiyo 150k risiti anatoa so TRA wanapata chao pia
ASILIMIA 56.87 YA WENYE MADUKA N WEXI ZILE MALI NYINGI HAZILIPIWI KODI KWAHIO RELAX KILA MTU ALE OFISINI KWAKE KAMA KWAKO HALIPI TUKUPE MCHONGO WA KUJILLIPUA HAKIKISHA UMEANDIKA URITHI TUKwa wafanyabiashara ambao hamjui vile mnaibiwa na wafanyakazi hata kama mmefunga camera.
Iko hivi, mteja akifika dukani atachagua vitu anataka, wakati wa kufanya malipo mfanyakazi asiyekuwa mwaminifu atamwambia gharama yake halisi mfano 200K kisha atamwambia anaweza kulipia 20K na risiti atapewa ya 20K na ataondoka na vitu vyote, hapo atahakikisha kiasi cha pesa alicholipia kinalingana na moja ya bidhaa ili kwenye risiti ya efd aseme ameuza kitu fulani.
Kifuatachi atampa mteja namba yake amtumie 50K kwa simu au utapokea cash, so hapo mteja anagharamika Sh 70K anasave 130K ya laana. Mwenye biashara umekula hasara na TRA imekosa mapato.
Hapo inategemea na mteja mwenyewe kama na yeye sio mwaminifu ndio ushakula hasara mbele ya camera.
Kwa wale ambao mmeweka mtu wa security mlangoni na kukagua risiti na bidhaa zinazotoka nje ya duka sio wajinga lazima ashirikiane na cashier/mfanyakazi ili kufanikisha.
Mmiliki unajua unamlipa mfanyakazi wako mshahara labda 500K mwisho wa mwezi kumbe mwenzio huwa anajilipa vizuri kwa siku, huo mshahara wako wa mwisho wa mwezi kwake ni bonus.
Hapo mmiliki utabaki kulia hasara unashangaa dukani camera zipo na wakati mwingine unashinda hapo unaona wateja wanavyoingia na kutoka lakini bado unapata hasara unawaza huelewi kumbe wenzio wasiokuwa waaminifu wanakuchezea.
Sasa mfanyakazi anaweza kucheza hivyo na stranger vipi siku akikutana na mtu anayemmudu kama sio kukuosha.
Kunywa brufen😃Haika kimaro mbinu mlizo niibia nazo ni zakitoto sana , msifikiri sijang'amua wizi wenu🚮
Watakuja kulia vibaya sio kila mtu anakubali kuibiwa😥mfanyakazi mwingine akienda store kuchukua mzigo wa mteja anaubadilisha kama boksi ni la mzigo X Basi ilo box linawekewa mzigo Y ambao una thamani zaidi ya mzigo X namteja anasepa zake then wanamalizana na mfanyakazi wa sukani namna walivyo kubaliana
Haika kimaro hivi ni wewe kweli wa kuniambia ninywe brufen au na kufananisha mono wa maa😅Kunywa brufen😃