Mfanyabiashara ukifunga camera na hata ukitaka ushinde hapo 24/7 mfanyakazi akiamua kuiba ataiba tu

Akiangalia ma cctv yake kila kitu kipo sawa lakin hasara anapata sa usiombe uwe na mfanyakazi afu apate wateja kama 3 wahuni naapa utafilisika mchana kweupe iyo hardware tuliifirisi mhindi akarudi kwao bila kujua alivofilisika cctv imetengenezwa na binadamu so haiwezi kumzidi binadamu akili
 
Wewe ni katili sana
 
Wewe inabidi sasa ukatubu, unalala kwenye nyumba iliyotokana na wizi na unapata usingizi vizuri😀 usije ukaungulia kwa hiyo nyumba
 
yeye ndo alileta ukatili wa kutufungia cctv hadi chooni mhindi ana dharau kama hujui ndugu yangu sana sana hawa ambaoo hawali nyama ya ngombe anakutukana hata mbele ya wateja bora hata ya mchna mara kumi
Hongera..usijitetee..safi sana Kwa kumbutua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…