DOKEZO Mfanyabiashara wa Magari, Gideon Mlokozi Mashankara amepotea

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Yaani buu utawala umejaa ushetani mkubwa. Mbona inakuwa ni zaidi hata ya utawala wa awamu ya 5?
Asitekwe Lissu, Mbowe,Mwambukusi au Mdude Nyagali atekwe mtu ambaye hata nyumbani kwake hana ushawishi? kuweni seriuous eti kwa sababu ameandikwa mwanaharakati basi mnaona serikali imemteka!

Wafanyabiashara wa magari wengine baadhi yao ni matapeli,wanajihusisha na wizi wa magari na dhuruma. Hilo ndio lingeangaliwa kwanza. Alimdhuruma/alimtapeli nani?
 
Sisi wananchi ni wajinga.Tumesema siku zote mkiona magari hayana namba na wanataka kumchukua mtu pigeni filimbi watu waje ili walizingile hilo gari na kulichoma moto pamoja na waliomo vinginevyo hiyo biashara ya kuteka watu itaendelea
Tatizo hayo maelekezo yapo mitandaoni na hayatolewi na jeshi la polisi wala mamlaka za serikali napo ndipo mamlaka za serikali zinapo husishwa na madhila haya wanayo yapitia watanzania sasa
 
Mh ! 🤔🤔🤔
 
Wabongo wangi ni wajinga tu yaani wanakuja watu from no where wanamchukua mshaji wako kibabe na ww upo tu unaangalia?
Musipokua na umoja mtapotezwa kama kuku endeleni na ujinga wenu.
Ukiaacha tu kuaangalia
Ukisema umpambanie basi uende na plastic bag ya kuwekea ubongo wako
Tanzania my motherland nakulilia
 
=Survival of my fittest.

-Survival for the fittest.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…