DOKEZO Mfanyabiashara wa Magari, Gideon Mlokozi Mashankara amepotea

DOKEZO Mfanyabiashara wa Magari, Gideon Mlokozi Mashankara amepotea

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Afu hao jamaa hawakukamati hivi hivi, kuna sehemu unakua umezingua.

Jamaa yangu mmoja aliwahi kudakwa, wakapelekwa porini kuchezea kipigo cha kutosha. Mwisho wa siku wakabaki na wanaowatafuta, jamaa akaachiliwa huru (walikua wa 4).
 
Kwa hizi nchi zetu za kiafrika bado hata baadhi ya nchi zilizoendelea.

Unapofanya jambo lako hakikisha haligusi usalama wa nchi.

Piga porojo ila usivuke mstari, utakuwa safe.

Extra judicial activities haziepukiki.

Halafu changamoto nyingine huku mitaani huwa hatuwekani wazi mishe zetu.

Unakuta mtu ni mafia hatari ila ana front business ya kuzugia, watu wakiruka nae kelele zinakuwa nyingi kumbe hawajui nini kipo nyuma ya pazia.

Tufanye kazi halali na kumuomba Mungu, basi.
 
Hivi ni kwanini mtu anapochukuliwa na watu msiowajua msifuatilie hilo gari mpk mwisho mjue anapelekwa kituo gani iwe rahisi kufuatilia?
Huo Ndiyo ujinga wetu. Jamaa yenu anachukuliwa na watu msio wajua nyie mna angalia tu bila kuchukua hatua yoyote pale pale kabla hawajaondoka naye. Tuchukue hatua kabla hawaja tumaliza.
 
Kwa hizi nchi zetu za kiafrika bado hata baadhi ya nchi zilizoendelea.

Unapofanya jambo lako hakikisha haligusi usalama wa nchi.

Piga porojo ila usivuke mstari, utakuwa safe.

Extra judicial activities haziepukiki.

Halafu changamoto nyingine huku mitaani huwa hatuwekani wazi mishe zetu.

Unakuta mtu ni mafia hatari ila ana front business ya kuzugia, watu wakiruka nae kelele zinakuwa nyingi kumbe hawajui nini kipo nyuma ya pazia.

Tufanye kazi halali na kumuomba Mungu, basi.
Hakuna ambaye hakatai watu wenye makosa kukamatwa ila muhimu utaratibu ufanyike unaoleweka. Kupitia hiki kichaka polisi wanaweza kuua watu wasiohusika.
 
Kwa hizi nchi zetu za kiafrika bado hata baadhi ya nchi zilizoendelea.

Unapofanya jambo lako hakikisha haligusi usalama wa nchi.

Piga porojo ila usivuke mstari, utakuwa safe.

Extra judicial activities haziepukiki.

Halafu changamoto nyingine huku mitaani huwa hatuwekani wazi mishe zetu.

Unakuta mtu ni mafia hatari ila ana front business ya kuzugia, watu wakiruka nae kelele zinakuwa nyingi kumbe hawajui nini kipo nyuma ya pazia.

Tufanye kazi halali na kumuomba Mungu, basi.
Watu hii bado hawajajua
Mtu uko nae jioni Dar usiku yupo mbeya kesho asubuhi yupo dar
 
Sisi wananchi ni wajinga.Tumesema siku zote mkiona magari hayana namba na wanataka kumchukua mtu pigeni filimbi watu waje ili walizingile hilo gari na kulichoma moto pamoja na waliomo vinginevyo hiyo biashara ya kuteka watu itaendelea
Kwenye PlayStation au?
 
Anaitwa GIDEON MLOKOZI MASHANKARA ana umri wa miaka 30,mkazi wa Tabata Segerea,

Kazi yake ni mfanyabiashara wa kuuza magari lakini pia ni mwanaharakati huru wa mitandaoni,hajulikani alipo siku ya saba leo baada ya kutekwa na kupotezwa.

Alitekwa na watu waliojitambulisha kuwa ni askari wa jeshi la Polisi siku ya Ijumaa ya tarehe 02 August 2024 majira ya Saa 2 :00 usiku.

Akiwa katika ofisi ya magari ya rafiki yake inayojulikana kama RAPHAEL STAR iliyopo maeneo ya Segerea Stand.

Watu hao waliojitambulisha kama askari wa Jeshi la polisi walikuwa watano,walivamia ofisi hiyo wakiwa wamevalia kiraia na kumuweka Chini ya ulinzi.

Ndipo alipowahoji waoneshe vitambulisho lakini wakakaidi na kudai wanampeleka kituo cha polisi Tabata,atajua huko huko.

Walitumia nguvu na kumfunga pingu kisha wakamuingiza kwenye gari walilokuja nalo aina ya Landcruiser hardtop, ikiwa haina namba

Lakini mashuhuda waliokuwa nje ya ofisi wanasema,gari hilo halikuwa na namba kwa nyuma ila kwa mbele liliandikwa "STL" tu.

Gari hilo halikuelekea Kituo cha polisi Tabata kama walivosema bali lilielekea njia ya kwenda kinyerezi.

Familia ilianza juhudi za kumtafuta vituo vyote vya Polisi Jijini Dar es saalam bila mafanikio

Tulianza kituo cha polisi Tabata, tukaambiwa hayupo na hawana taarifa zake,Tukaenda kituo cha polisi cha Staki Shari,Kinyerezi na Buguruni pia hawakuwa na taarifa zake

Kesho yake asubuhi tuliendelea na vituo vingine tulianzia Central, Oysterbay na vituo vyote bila Mafanikio

Tumezunguka Hospitali zote jijini Dar es saalam na vyumba vya kuhifadhia maiti "Mortuary" bila Mafanikio.

Tulifungua taarifa kituo cha Polisi cha Staki Shari na kupewa RB namba STK/RB/6642/024

Baada ya siku ya tano bila Mafanikio tumeenda Central polisi kufungua jalada la Uchunguz,tumeambiwa upelelezi unaendelea.

Kwa niaba ya Familia tunaomba mtu yoyote mwenye taarifa kuhusu ndugu yetu awasiliane na Baba yake GIDEON kwa namba 0786878133 au kwa namba ya rafiki yake ambayo ni 0624497811

Asante sana.
Wenzake walishindwa hata kuwapiga picha za sili au hajujuwa na CCTV Camera?
 
Sheikh kirahisi tu ivo? Hawa watu hawaheshimu haki Wala maisha ya raia, unaweza kufatilia wakakukamata na wewe, mtu anayeheshimu kazi yake hawezi kukataa kutoa kitambulisho anapofanya arrest.....
Ukishatanguliza uoga basi ujue umeshashindwa.
Inakuwaje watu mliopo mnashindwa hata kuziba barabara kwa kutumia mawe, magari mabovu/mazima, mapikipiki, miti/magogo, mazagazaga n.k. ili wasiondoke?? Mbona mko sharp sana ktk kukimbiza/kufukuzana na kupambana na vibaka; hapo imekuwaje??
Watu watano tu wamefanikiwa kupita na mpendwa wenu huku nyie mnakazania kusoma plate no. eti imendikwa STL tu....
Mkamataji kama hatoi kitambulisho/hajavaa sare na hajafuatana na mwenyeji yeyote e.g. Mtendaji au hata mjumbe; fasta Piga kelele/filimbi, Kusanya Nzi , chukueni Sheria Mkononi chap. Mambo mengine bhana dah!
 
Shida haijawahi kukuta ndugu yangu tundu la 9mm callibre linatisha
Ok. Atapiga risasi wangapi? na ujue hio milio ya risasi (kama watatumia bunduki)ndo itasababisha "Tangazo" watu wajae hapo. Tumeshajua kwamba ukitekwa unaenda kufa (kuuawa). Sasa kwa nini usifie hapo hapo nyumbani kwako ili kieleweke? Kumbuka hao hawana huruma hata kidogo. 1. Watakutesa sana na mwisho 2. Watakuua halafu 3.Wataitupa maiti yako-hutozikwa.
Ni kheri ukapunguza Mateso ukabaki na Kuuawa na maiti (Mwili)wako ukapatikana ila sio unakubali kupata yote matatu Mateso, Kuuawa na Mwili wako kutupwa usionekane.
 
Anza wewe tupe jina na anwani yako na namba ya simu tuone ushujaa wako.
Mr.Keyboard warrior.
 
Back
Top Bottom