Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo Ndiyo ujinga wetu. Jamaa yenu anachukuliwa na watu msio wajua nyie mna angalia tu bila kuchukua hatua yoyote pale pale kabla hawajaondoka naye. Tuchukue hatua kabla hawaja tumaliza.Hivi ni kwanini mtu anapochukuliwa na watu msiowajua msifuatilie hilo gari mpk mwisho mjue anapelekwa kituo gani iwe rahisi kufuatilia?
Hakuna ambaye hakatai watu wenye makosa kukamatwa ila muhimu utaratibu ufanyike unaoleweka. Kupitia hiki kichaka polisi wanaweza kuua watu wasiohusika.Kwa hizi nchi zetu za kiafrika bado hata baadhi ya nchi zilizoendelea.
Unapofanya jambo lako hakikisha haligusi usalama wa nchi.
Piga porojo ila usivuke mstari, utakuwa safe.
Extra judicial activities haziepukiki.
Halafu changamoto nyingine huku mitaani huwa hatuwekani wazi mishe zetu.
Unakuta mtu ni mafia hatari ila ana front business ya kuzugia, watu wakiruka nae kelele zinakuwa nyingi kumbe hawajui nini kipo nyuma ya pazia.
Tufanye kazi halali na kumuomba Mungu, basi.
Watu hii bado hawajajuaKwa hizi nchi zetu za kiafrika bado hata baadhi ya nchi zilizoendelea.
Unapofanya jambo lako hakikisha haligusi usalama wa nchi.
Piga porojo ila usivuke mstari, utakuwa safe.
Extra judicial activities haziepukiki.
Halafu changamoto nyingine huku mitaani huwa hatuwekani wazi mishe zetu.
Unakuta mtu ni mafia hatari ila ana front business ya kuzugia, watu wakiruka nae kelele zinakuwa nyingi kumbe hawajui nini kipo nyuma ya pazia.
Tufanye kazi halali na kumuomba Mungu, basi.
Kwenye PlayStation au?Sisi wananchi ni wajinga.Tumesema siku zote mkiona magari hayana namba na wanataka kumchukua mtu pigeni filimbi watu waje ili walizingile hilo gari na kulichoma moto pamoja na waliomo vinginevyo hiyo biashara ya kuteka watu itaendelea
Sawa mkuu
Wenzake walishindwa hata kuwapiga picha za sili au hajujuwa na CCTV Camera?Anaitwa GIDEON MLOKOZI MASHANKARA ana umri wa miaka 30,mkazi wa Tabata Segerea,
Kazi yake ni mfanyabiashara wa kuuza magari lakini pia ni mwanaharakati huru wa mitandaoni,hajulikani alipo siku ya saba leo baada ya kutekwa na kupotezwa.
Alitekwa na watu waliojitambulisha kuwa ni askari wa jeshi la Polisi siku ya Ijumaa ya tarehe 02 August 2024 majira ya Saa 2 :00 usiku.
Akiwa katika ofisi ya magari ya rafiki yake inayojulikana kama RAPHAEL STAR iliyopo maeneo ya Segerea Stand.
Watu hao waliojitambulisha kama askari wa Jeshi la polisi walikuwa watano,walivamia ofisi hiyo wakiwa wamevalia kiraia na kumuweka Chini ya ulinzi.
Ndipo alipowahoji waoneshe vitambulisho lakini wakakaidi na kudai wanampeleka kituo cha polisi Tabata,atajua huko huko.
Walitumia nguvu na kumfunga pingu kisha wakamuingiza kwenye gari walilokuja nalo aina ya Landcruiser hardtop, ikiwa haina namba
Lakini mashuhuda waliokuwa nje ya ofisi wanasema,gari hilo halikuwa na namba kwa nyuma ila kwa mbele liliandikwa "STL" tu.
Gari hilo halikuelekea Kituo cha polisi Tabata kama walivosema bali lilielekea njia ya kwenda kinyerezi.
Familia ilianza juhudi za kumtafuta vituo vyote vya Polisi Jijini Dar es saalam bila mafanikio
Tulianza kituo cha polisi Tabata, tukaambiwa hayupo na hawana taarifa zake,Tukaenda kituo cha polisi cha Staki Shari,Kinyerezi na Buguruni pia hawakuwa na taarifa zake
Kesho yake asubuhi tuliendelea na vituo vingine tulianzia Central, Oysterbay na vituo vyote bila Mafanikio
Tumezunguka Hospitali zote jijini Dar es saalam na vyumba vya kuhifadhia maiti "Mortuary" bila Mafanikio.
Tulifungua taarifa kituo cha Polisi cha Staki Shari na kupewa RB namba STK/RB/6642/024
Baada ya siku ya tano bila Mafanikio tumeenda Central polisi kufungua jalada la Uchunguz,tumeambiwa upelelezi unaendelea.
Kwa niaba ya Familia tunaomba mtu yoyote mwenye taarifa kuhusu ndugu yetu awasiliane na Baba yake GIDEON kwa namba 0786878133 au kwa namba ya rafiki yake ambayo ni 0624497811
Asante sana.
Kuna siku atatekwa mama yako ndio utapata akili,Shida haijawahi kukuta ndugu yangu tundu la 9mm callibre linatisha
Ukishatanguliza uoga basi ujue umeshashindwa.Sheikh kirahisi tu ivo? Hawa watu hawaheshimu haki Wala maisha ya raia, unaweza kufatilia wakakukamata na wewe, mtu anayeheshimu kazi yake hawezi kukataa kutoa kitambulisho anapofanya arrest.....
Ok. Atapiga risasi wangapi? na ujue hio milio ya risasi (kama watatumia bunduki)ndo itasababisha "Tangazo" watu wajae hapo. Tumeshajua kwamba ukitekwa unaenda kufa (kuuawa). Sasa kwa nini usifie hapo hapo nyumbani kwako ili kieleweke? Kumbuka hao hawana huruma hata kidogo. 1. Watakutesa sana na mwisho 2. Watakuua halafu 3.Wataitupa maiti yako-hutozikwa.Shida haijawahi kukuta ndugu yangu tundu la 9mm callibre linatisha
Anza wewe tupe jina na anwani yako na namba ya simu tuone ushujaa wako.Ok. Atapiga risasi wangapi? na ujue hio milio ya risasi (kama watatumia bunduki)ndo itasababisha "Tangazo" watu wajae hapo. Tumeshajua kwamba ukitekwa unaenda kufa (kuuawa). Sasa kwa nini usifie hapo hapo nyumbani kwako ili kieleweke? Kumbuka hao hawana huruma hata kidogo. 1. Watakutesa sana na mwisho 2. Watakuua halafu 3.Wataitupa maiti yako-hutozikwa.
Ni kheri ukapunguza Mateso ukabaki na Kuuawa na maiti (Mwili)wako ukapatikana ila sio unakubali kupata yote matatu Mateso, Kuuawa na Mwili wako kutupwa usionekane.
Hii ndiyo comment nilikuwa naisubiri.Uyu ndio aliowazuluma gari wale waarabu... Kwamba kaagiza mzigo na hujafika