Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajatenda kosa. Tumieni njia mbadala (Msimhoji nyie mobosi wake). Tumieni wataalam e.g. Polisi wa Dawati la jinsia au Ustawi wa Jamii au Hata rafiki zake. Zingatieni kuwa mkojo binafsi waweza kuwa na matumizi binafsi. Mkojo sio sumu. Aliuhifadhi kwa malengo. Mwendeeni kwa utaratibu mtagundua kilichojiri hata akakusanya mkojo wake na kuuhifadhi vizuri kwa matumizi ya badaye. Hapo hazungumzi kwa sababu ya aibu na mmemvamia kwa hasira, vitisho, maswali magumu, kumrekodi na kumtuhumu kwamba anawanyweshaga mikojo. Mpeni nafasi/muda atajieleza. Poleni sana.
Sim tankDuhh! Ila hawa wadada wa kazi Mungu atusaidie.
Be carefully your house maid is serving you, your own shit.Oh!Aiseeh.
Unacheka? Kojo la hedhi unalijua vizuri linavyotema?Ahaaa nimecheka sio kwa mikojo hyo