Mfanyakazi anayeshangilia Ongezeko la Mshahara hajui Hisabati

Mfumuko ni over 50% nyongeza just 23.3% wakati kwa miaka 5 iliyopita hakuna nyongeza na mfumuko ni less than 10%
Mfumuko ni 50% wa nini ?Una maana inflation?Fafanua wacha kuandika sweeping statements bila ushahidi wa data.
Huo mfumuko umeupataje?Kwa data zipi za kitaalamu?Inflation rate kwa October 2021 ilikuwa 4,1% kwa mujibu wa World Bank.
Sasa hesabu za asilimia 50 umezitoa wapi?
 
World bank hawanunui Unga wala mchele huku mtaani.
 
Alikutesa wapi ni bendera fuata upepo, we una nini kiasi cha kuteswa na JPM?
Nenda ukanye mavi chooni pengine ubongo wako utapata wepesi. Kama hukuteseka na Magufuli pengine wewe ni msukuma kama Makonda au Bashiru
 
Kwa hiyo hoja imebadilika tena sio mishahara mikubwa kwa wabunge na mawaziri bali ni kusafiri!?
Jamaa anaulizwa swali anajibu asichoulizwa.Waalimu Nchi wamefanya na wanafanya kazi kubwa sana.
 
Ndiyo wameshaongezewa hivyo, hauna namna ya kubadilisha. Kama vipi, tafuna malimao![emoji41][emoji41]
 
Mkubwa kwani mfumuko wa bei ameuleta mama Samoa mbona kipindi cha magufuli sukari iligota mpaka elfu 6 kwa kilo
 
Roho mbayaaaa kama ya Kenge
 
Ni kweli mkuu,lakini najaribu kujiuliza kwa sauti kidogo.Kwanini Mama hakutangaza increment siku ya Mei mosi ambayo siyo Sheria lakini kiutamaduni ndiyo tumezoea kusikia taarifa njema Kama hizi,lakini pia baada ya mafuta kupanda na effect yake kuonekana kitaa tukaona vikao vya dharura na vya usiku vya wakubwa wetu,kujaribu kupooza machungu kidogo na matokeo yake yakaoneka angalau kiduchu.
Sasa point yangu ni hii,nikweli Kuna mfumuko wa bei unaosababishwa na external factors Kama hizi za Urusi na UKrain,Covid,n.k lakini pia brain yetu ya kiuchumi bado ina nafasi, ya kupunguza haya makali,inawezekana increment ya mama ni sehemu ya strategy hiyo ndiyo maana haikuwa tayari May mosi imekuja baada ya makelele ya mtaani.Pamoja na kazi kubwa ya kina Mwigulu na wenzake lakini bado wanaweza kupunguza tena hata Kama ni kidogo zaidi.
 
Kidogo naona tunaweza kujadili kitaalamu bila siasa za hovyo

Mimi binafsi naona ni bora asingepandisha mishahara kisha hiyo hela ikatumika kutoa ruzuku itakayotumika kupunguza bei ya mafuta kwa kipindi kirefu na kiwango kikubwa zaidi

Maana mishahara itapanda kwa wafanyakazi tena wa serikali tu, na 90% ya Watanzania sio wafanyakazi wa serikali, ila mafuta yangeleya unafuu kwa wote
 
Uko sahihi, ndiyo maana nilisema kuwa kina Mwigulu wangeweza au wanaweza kufanya zaidi ya hapo,hata Kama hawatamaliza lakini angalau watapunguza hata kwa nukta kadhaa Kama walivyotuambia mafuta yatashuka kwa Tsh 29.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…