Mfanyakazi anayeshangilia Ongezeko la Mshahara hajui Hisabati

Msoto umekufanya upate akili.
 
uhuni wa kupindukia.

Si kila mtu lazima aandike mada JF wewe muandishi hakika umepotoka na kupotosha. . Magufuli hakujali watumishi kwa lolote lile...hata yale aliyo yafanya kwa ajili ya watumishi ilikuwa ni kwa shida sana....kiufupi wewe hukumjua vyema Magufuli japo unajiita mfuasi wake.
 
Lazima tuwapigie kelele mburula kama nyinyi ambayo Γ kili zenu zimeganda kwa propaganda za DIKTETA wa Chato
Mwamba ule. Credit zake 100% kwa kujisimamia kuhusu covid 19 no lockdown
10% kwa rafu za uchaguzi japo na upinzani akili zao ni mgando ni kama walistahili kufanyiwa hvyo.
0% kwa kauli kuhusu wahanga wa tetemeko huko kagera.
90% kwa uongozi unaowafaa watanzania vichwa vya mwendawazimu.
 
Halafu sasa hivi mbona huandiki nyuzi za kumponda Mbowe
Mpokea bakshishi za kupitisha mgombea urais ( lowersir) πŸ˜‚πŸ˜‚ pale alitupiga bhana hata km tukilitetea hilo lkn alilamba sukari.
 
Kasimamia wapi COVID 19 vizuri wakati Yeye mwenyewe kafagiliwa na COVID 19? Watu wamekufa kizembe wengi tu mwenyewe naye kaondoka nao
 
Kasimamia wapi COVID 19 vizuri wakati Yeye mwenyewe kafagiliwa na COVID 19? Watu wamekufa kizembe wengi tu mwenyewe naye kaondoka nao
Wapi hawakufa? Mbona waliofunga nao walipukutika? Na ww wangekufungia ungesepa kwa njaa shukuru mwamba. Ulijitolea bora ufe ila watanzania wabaki wakitafuta siyo hawa wawinda misaada kupitia majanga.
 
Wapi hawakufa? Mbona waliofunga nao walipukutika? Na ww wangekufungia ungesepa kwa njaa shukuru mwamba. Ulijitolea bora ufe ila watanzania wabaki wakitafuta siyo hawa wawinda misaada kupitia majanga.
Eti unamuita mwamba, wakati mtu alikuwa na ngozi impauka na mabaka kama mamba. Eti mwamba mtu anaishi na kibetri cha kumsaidia kuongeza mapigo ya moyo na UKIMWI pia
 
Eti unamuita mwamba, wakati mtu alikuwa na ngozi impauka na mabaka kama mamba. Eti mwamba mtu anaishi na kibetri cha kumsaidia kuongeza mapigo ya moyo na UKIMWI pia
Sasa ulimuogopa wa nini kama alikuwa wa hivyo hadi unaropka wakati alishakwenda zake? Mnahangaoshwa na marehemu 😁😁 akirudi si wote mnazimia nyie na kupata shambulio la moyo
 
suala la kupandisha mishahara ni suala la kisheria. ukiona mtu/kiongozi yeyote analichukulia poa ujue huyo hamnazo na hajui lolote au kutojali haki za watu.
unatetea kutopandishwa mishahara na yule mpuuzi wenu aliyekufa je hukumbuki wapo watu walishastaafu kwa kiwango cha mshahara ambacho hakijaongezwa, walistahili kuongeza na wamepunjwa mafao yao?
si mkalifufue sasa
 
Na wewe kwako vipi mfumuko wa bei maana unaongelea watumishi wa umma.
 
Mnahangaoshwa na marehemu 😁😁 akirudi si wote mnazimia nyie na kupata shambulio la moyo
Wapumbavu mnaamini kuwa atafufuka? Misukule ya Mwendazake mnakazi kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…