Mfanyakazi anayeshangilia Ongezeko la Mshahara hajui Hisabati

Naomba nijibu:-

Hivi asingeongeza bei za bidhaa zingeshuka?
Mafuta ya petrol yangeshuka huko duniani.

Wasukuma mtahangaika sana safari hii
 
K*M kbs ww na nenda ukazikwe naye uko chato toa upotoshaji hapa
 
Kwenye Corona ulikuwepo? Corona na hiyo vita kipi kilipaswa kutuathiri? Urusi na Uarabuni wapi ni karibu Kwetu?
Nilikua nakuona mtu makini sana, lakini hoja zako za hivi karibu umedhihirisha kuwa ni mganga njaa tu. Urusi ni nchi ya pili kwa uzalishaji wa mafuta duniani na soko lake kubwa ni ulaya baada ya vikwazo vinavyotokana na vita ya Ukraine nchi nyingi za Ulaya zimeanza kuagiza mafuta uarabuni hivyo kupelekea bei ya mafuta kupanda. Hakuna nchi ambayo haizalishi mafuta haijapata mfumuko wa bei.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kwendraaaaa SG

Kwahyo wafanyakazi peke yao ndo wanapaswa kuomba mfumuko wa bei ushuke?
Kuna mijitu haina Shukrani hata kitendeke nini

Tunamshukuru Mama Samia hata kwa hicho kidogo, tangu wakati wa JK mshahara aliuacha ndo huo huo licha ya inflation kuwepo JPM hakujali hili miaka mitano plus, leo mama kaona aongeze kidogo mnaanza analysis za uongo na kweli kwendaaaaaa kafie mbele huko
 
nafikiri Luna mahali haujafanya Tafiti kuhusu uliyoyaandika, nadhani kuna jambo haliko sawa katika namna yako ya kufikiri au ubongo wako una mashambulizi ya magonjwa mbalimbali. mama ametekeleza takwa la kikatiba hasa mikataba ya kiserikali na watumishi, amejaribu tumpe muda sio sawa na bure. watumishi wanajua sana hisabati labda mwenzetu utuambie ulijifunzia hisabati za chuo gani huko ukorinto
 
Nimepiga hesabu Ni sh 431550 toka 350000 ongezeko Ni 81550
 
Sisi tunaagiza Urusi? Wewe singizia Urusi huku unapigwa
 
Ulivyomtaja tu jiwe,sijaendelea kusoma huu ushuzi wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…