jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 4,888
- 6,459
Tusubili waanze kupokea mishaara mipya, baada ya kupokea muezi miwili ya mwanzo tutaanza kuwaona wanafiki wataanza kusema Bora mishaara hisinge pandishwaHuo mfumko wa bei unamhusu mfanyakazi TU na kukuacha wewe pembeni au sijakuelewa? Nyongeza ya mshahara Kwa mfanyakazi ni muhimu mno kuliko huo mfumko wa bei. Siuandiki umuhimu huo hapa Kwa kuyalinda maslahi mapana ya wafanyakazi.
Sent using Jamii Forums mobile app