Mfanyakazi anayeshangilia Ongezeko la Mshahara hajui Hisabati

Mfanyakazi anayeshangilia Ongezeko la Mshahara hajui Hisabati

Huo mfumko wa bei unamhusu mfanyakazi TU na kukuacha wewe pembeni au sijakuelewa? Nyongeza ya mshahara Kwa mfanyakazi ni muhimu mno kuliko huo mfumko wa bei. Siuandiki umuhimu huo hapa Kwa kuyalinda maslahi mapana ya wafanyakazi.
Tusubili waanze kupokea mishaara mipya, baada ya kupokea muezi miwili ya mwanzo tutaanza kuwaona wanafiki wataanza kusema Bora mishaara hisinge pandishwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakuta mtu masikini wa Mungu analipwa laki tatu na sabini leo ameongezewa elfu 30 na kuwa laki nne anafurahi kama zwazwa vile!

Kiasi kile kile ndugu zwazwa anachokihangaikia kama malipo yake ya mwezi mzima kilaza mmoja ndani ya mjengo anakipokea kwa sitting allowance ya masaa yasiyozidi 6 😄!

Hakika mazwazwa hatutoisha!

Nb: Sijataja mtu ama Taasisi yeyote.
 
Acha dharau mkuu
Unakuta mtu masikini wa Mungu analipwa laki tatu na sabini leo ameongezewa elfu 30 na kuwa laki nne anafurahi kama zwazwa vile!

Kiasi kile kile ndugu zwazwa anachokihangaikia kama malipo yake ya mwezi mzima kilaza mmoja ndani ya mjengo anakipokea kwa sitting allowance ya nasaa yasiyozidi 6 😄!

Hakika mazwazwa hatutoisha!
 
Wewe endelea kuwa mfuasi na wanaofurahia ongezeko wafurahie. Win win. Kila mtu afurahie kile kinachomfurahisha.
 
Back
Top Bottom