MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,104
- 6,827
shukuru hata nssf hukatwiSisi tunaowekewa bahasha mezani kwa muhindi haituhusu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shukuru hata nssf hukatwiSisi tunaowekewa bahasha mezani kwa muhindi haituhusu!
Sasa kwa nini watishe watu? Wewe unaongea vitu gani.Hilo ni jambo ka kawaida mkuu sema inatakiwa ueleweshwe faida yake ukiwa na TIN kama wewe nimfanyakazi tambua kuwa ulikuwa ukilipa kodi kama kawaida sasa ukipata hiyo itakusaidia hata kwa mambo mengine ya kibiashara hutowajibika kupata TIN nyingine zaidi ya hiyo ambayo utakuwa nayo! Kuwa mzalendo wa nchi yako ukipewa TIN nifaida kubwa kwako

Kama ndiyo hivyo,tra ndio wanatakiwa kutenda haki,Kama watumishi au waajiriwa wanalipa Kodi kwenye mishahara yao kwa Nini wasiwape tin yangu kipindi kirefu?Hilo ni jambo ka kawaida mkuu sema inatakiwa ueleweshwe faida yake ukiwa na TIN kama wewe nimfanyakazi tambua kuwa ulikuwa ukilipa kodi kama kawaida sasa ukipata hiyo itakusaidia hata kwa mambo mengine ya kibiashara hutowajibika kupata TIN nyingine zaidi ya hiyo ambayo utakuwa nayo! Kuwa mzalendo wa nchi yako ukipewa TIN nifaida kubwa kwako
Easy tu. We usipeleke TIN alafu subiri January na ujuaji wakoAcha upimbi wewe, yule mwenzio aliyekimbilia panga kwa yule dereva na kudai faini ya laki 5 kashatimuliwa, sasa akalime matikiti huko na panga lake, bado wewe [emoji23] [emoji23]
Ningekuwa mimi ni Moderator nipiga life Ban kuku kama nyie.Acheni chuki kwa serikali. Lipeni kodi..hakuna kupiga dili ndani ya 5 tena.
Fanyeni kazi..
Hata jamii forum sasa tutaanza kuifundia ianze kupatikana saa 2 usiku hadi 12 asubuhi.
Utakuwa kilaza wa TRA wewe! Kwani waajiliwa huwa hawalipi kodi? Leo hii TRA wanapobuni mfumo wa TIN kwa watumishi ndo watumie vitisho na kuweka ultimatum? Kwa maana nyingine mwenzi huu watu waanze kufukuzana na kuweka foleni TRA kwa kuwa tu wao wameamua? Kwa nini hawakutangaza tangu July wakati mwaka wa fedha unaanza? Au walisubili 28 October ipite! Rubbish!
Watu wanaleta ubishi usio na maana. Hata jambo la wazi kama hili unataka ubembelezwe mpaka lini?
TRA wametoa elimu kwa muda mrefu na tangazo la muda mrefu. Kwa hiyo wametoa muda wa kutosha na elimu juu. Sasa Kama mtu hataki kutekeleza ni lazima kutumia enforcement.
Kama muungwana na unaeleweka na 'vitisho' tekeleza ndani ya muda
Inaonekana uko huko huko TRA... Kwanza hii issue kuna mkubwa kawakurupusha meaning that hamjui wajibu wenu na hamko creative kubuni New sources za kodi, mmekomaa na kodi za mishahara tuu. Na kukuthibitishia kwamba mmekurupuliwa huko ndiyo maana mmekuja mkuku na kuweka Altmatum kitu ambacho TRA kisheria hamna huo uwezo wa kuzuia mishahara halali ya wafanyakazi. Imagine leo Novemba inaingia wiki ya tatu halafu eti Altmatum till end of December kwa wafanyakazi nchi nzima kweli????
Utakuwa kilaza wa TRA wewe! Kwani waajiliwa huwa hawalipi kodi? Leo hii TRA wanapobuni mfumo wa TIN kwa watumishi ndo watumie vitisho na kuweka ultimatum? Kwa maana nyingine mwenzi huu watu waanze kufukuzana na kuweka foleni TRA kwa kuwa tu wao wameamua? Kwa nini hawakutangaza tangu July wakati mwaka wa fedha unaanza? Au walisubili 28 October ipite! Rubbish!
Kwani kuna ubaya gani muajiriwa kuwa na TIN number au wewe hulipi kodi?Kuna taarifa inasambazwa kwa video clip na magazetini ikiwa imetolewa na TRA kuwataka waajiliwa wote kuwa na TIN. Ni taarifa ambayo naona kama inatokana na uongozi wa TRA wenye mapungufu ya hekima. Kwanza imeletwa ikiwa na kikomo (ultimatum) wakiamini wanayo nguvu hiyo ya kuwapa ultimatum waajiliwa wote. Pili imetolewa utadhani ni jambo la dharula. Tatu imetolewa kwa lugha ya hovyo, isiyo na uungwana pamoja na tishio la kuzuia mshahara wa mwajiliwa.
Naomba TRA wasijitwishe madaraka yasiyo yao. Mwajiliwa yeyote hajawahi kuwa na mkataba wa aina hiyo na TRA. Kama TRA wanaleta utaratibu mpya, wanatakiwa wawe waungwana (reasonable). Walete taarifa ya kiungwana na siyo kutishia wakati hakuna mwenye makosa. Labda wanaiga lugha za viongozi wanaomiliki vyombo vya dola. TRA hana nguvu ya aina hiyo na ni makosa kutishia watu wasio na mkataba wa aina hiyo.
Soma kinachojadiliwa, basi! Mbona ni aya mbili tu!Kwani kuna ubaya gani muajiriwa kuwa na TIN number au wewe hulipi kodi?
Kwa jambo kama hili, TRA haina nafasi ya kuwasiliana na wafanyakazi wote wa nchi hii. Hata iwe kwa matangazo makubwa, maana utekelezaji wake ni wa mwajili. TRA ilitakiwa kuwaandikia waajili ambao ndo wanawamiliki wafanyakazi, na waajili ndo wanaowasilisha TIN TRA, siyo mfanyakazi. Unamtangazia mfanyakazi apeleke wapi hiyo TIN wakati anayeipokea hujamwambia rasmi?Hilo tangazo limetolewa tokea mwezi wa 7, kwahiyo halijaanzia ulivyoona hiyo clip
ne
Watakuwa wameagizwa na Jiwe, mambo yote yanapitia baraza la mawaziri hivyo TRA usiwasingizie.Kuna taarifa inasambazwa kwa video clip na magazetini ikiwa imetolewa na TRA kuwataka waajiliwa wote kuwa na TIN. Ni taarifa ambayo naona kama inatokana na uongozi wa TRA wenye mapungufu ya hekima. Kwanza imeletwa ikiwa na kikomo (ultimatum) wakiamini wanayo nguvu hiyo ya kuwapa ultimatum waajiliwa wote. Pili imetolewa utadhani ni jambo la dharula. Tatu imetolewa kwa lugha ya hovyo, isiyo na uungwana pamoja na tishio la kuzuia mshahara wa mwajiliwa.
Naomba TRA wasijitwishe madaraka yasiyo yao. Mwajiliwa yeyote hajawahi kuwa na mkataba wa aina hiyo na TRA. Kama TRA wanaleta utaratibu mpya, wanatakiwa wawe waungwana (reasonable). Walete taarifa ya kiungwana na siyo kutishia wakati hakuna mwenye makosa. Labda wanaiga lugha za viongozi wanaomiliki vyombo vya dola. TRA hana nguvu ya aina hiyo na ni makosa kutishia watu wasio na mkataba wa aina hiyo.
Toooookaaaaaaa zako hukooooo....Hilo ni jambo ka kawaida mkuu sema inatakiwa ueleweshwe faida yake ukiwa na TIN kama wewe nimfanyakazi tambua kuwa ulikuwa ukilipa kodi kama kawaida sasa ukipata hiyo itakusaidia hata kwa mambo mengine ya kibiashara hutowajibika kupata TIN nyingine zaidi ya hiyo ambayo utakuwa nayo! Kuwa mzalendo wa nchi yako ukipewa TIN nifaida kubwa kwako
CCM wamekula pesa za corona wanatafuta namna ya kupata pesa za kufidia huo ufujajiNadhani tatizo siyo kujua maana ya TIN na faida yake, tatizo ni uwasilishaji wa taarifa. Ni kweli TRA wana madaraka juu ya mwajiliwa wa wizara ya Elimu? Wamezoea kufukuzana na wafanyabiashara sasa wanajisahau na kuamini kila mtu ni himaya yao.