Mfanyakazi/Mwajiriwa sasa kupewa TIN Number ili kutambulika kama mlipa kodi kupitia PAYE

Sasa kwa nini watishe watu? Wewe unaongea vitu gani.
 
Sasa kwa nini watishe watu? Wewe unaongea vitu gani.
 
Kama ndiyo hivyo,tra ndio wanatakiwa kutenda haki,Kama watumishi au waajiriwa wanalipa Kodi kwenye mishahara yao kwa Nini wasiwape tin yangu kipindi kirefu?
Wana majina ya waajiriwa wote kupitia hazina.ni wakati wao kuwapa hizo tin
 
Acha upimbi wewe, yule mwenzio aliyekimbilia panga kwa yule dereva na kudai faini ya laki 5 kashatimuliwa, sasa akalime matikiti huko na panga lake, bado wewe [emoji23] [emoji23]
Easy tu. We usipeleke TIN alafu subiri January na ujuaji wako
 

Mzee upo nyuma sana na techologia inshort hujui chochote, alokwambia tin unapanga foleni nan??. Tin sahivi unachukua online huku unakula tano kwa bed dk5 tu unapata tin. Tz kazi ipo[emoji1316][emoji1316][emoji1316]
 

Nashangaa kuona watu hawajui kama tin ni online sahv[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1316][emoji1316]
 

Hapana sipo tra ila nina elim ya kodi, suala la kuzuia mishahara tra hawahusiki mkuu pole sana.
 

 
Hio TIN namba iguse kwenye dini napo huko tutapata Kodi nyingi Sana ili miradi isikwame maana mabeberu wamedhamiria kutunyima misaada
 
Kwani kuna ubaya gani muajiriwa kuwa na TIN number au wewe hulipi kodi?
 
Hilo tangazo limetolewa tokea mwezi wa 7, kwahiyo halijaanzia ulivyoona hiyo clip

ne
Kwa jambo kama hili, TRA haina nafasi ya kuwasiliana na wafanyakazi wote wa nchi hii. Hata iwe kwa matangazo makubwa, maana utekelezaji wake ni wa mwajili. TRA ilitakiwa kuwaandikia waajili ambao ndo wanawamiliki wafanyakazi, na waajili ndo wanaowasilisha TIN TRA, siyo mfanyakazi. Unamtangazia mfanyakazi apeleke wapi hiyo TIN wakati anayeipokea hujamwambia rasmi?
 
Watakuwa wameagizwa na Jiwe, mambo yote yanapitia baraza la mawaziri hivyo TRA usiwasingizie.
 
Toooookaaaaaaa zako hukooooo....
 
Nadhani tatizo siyo kujua maana ya TIN na faida yake, tatizo ni uwasilishaji wa taarifa. Ni kweli TRA wana madaraka juu ya mwajiliwa wa wizara ya Elimu? Wamezoea kufukuzana na wafanyabiashara sasa wanajisahau na kuamini kila mtu ni himaya yao.
CCM wamekula pesa za corona wanatafuta namna ya kupata pesa za kufidia huo ufujaji
 
Hili Suala mbona ni La Mda mrefu sanaa Nyinyi Kima watu walikua wanahangaika na TIN taangu July walio comment hapa wanajifanya ndo wameona Shubamiiitiiiii!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…