Mfanyakazi/Mwajiriwa sasa kupewa TIN Number ili kutambulika kama mlipa kodi kupitia PAYE

Hao ndio watoza ushuru. Wanakubambikia kodi...wanakuja kudai cha kwao...halafu baadae wanasema tumekusaidia. Rushwa iliyoko ndani ya hii nchi itaisha lini? Tunataka haki. Haki itamalaki ili Taifa liweze kwenda mbele na kufanikiwa
 
Huyu atakuwa wazee CPA, maana anavyotoa POVU kana kwamba TRA wamekosea.

Pinga pinga kila kitu haitofikisha hata atawale malaika.
 
Kuna taarifa inasambazwa kwa video clip na magazetini ikiwa imetolewa na TRA kuwataka waajiliwa wote kuwa na TIN. Ni taarifa ambayo naona kama inatokana na uongozi wa TRA wenye mapungufu ya hekima...
Waajiriwa taarifa wanazo tangu Julai 2020 na deadline ilikuwa September.

Kwa taarifa yako/yenu haichukui nusu saa mtumishi kuwa na TIN number ilimradi awe na kitambulisho cha taifa NIDA.

Watumishi wa Umma 99% wanavyo vitambulisho au number za nida
 
Tatizo kupata hiyo TIN online ni shida.
Kwangu niliomba online TIN Tarehe 25/9/2020 lakini mpaka leo inaniandikia
"Your TIN status is in progress, You will be notified through your contacts".
Inanipasa tu nitembelee ofisi zao maana huku online naona kama imeshindikana.

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
 
Waajiriwa taarifa wanazo tangu Julai 2020 na deadline ilikuwa September.
Kwa taarifa yako/yenu haichukui nusu saa mtumishi kuwa na TIN number ilimradi awe na kitambulisho cha taifa NIDA.
Watumishi wa Umma 99% wanavyo vitambulisho au number za nida
Mkuu mbn kama unatuchamba ?!
 
Tin no ni usajili wa mlipa kodi yeyote na kwa kuwa wafanyakazi wanalipa kodi wanapaswa kuwa nayo ni mawazo yangu lkn mkuu
Vipi kuhusu wafanyakazi wanaolipwa kima cha chini ?
Hawa pia wanatakiwa kuwa na TIN Number wakati hawalipi Kodi ?
 
Vipi kuhusu wafanyakazi wanaolipwa kima cha chini ?
Hawa pia wanatakiwa kuwa na TIN Number wakati hawalipi Kodi ?

Kama hulipi kodi mwajiri wako atakulipia SDL WCF na NSSF yako wewe usie katwa kodi
 
Mhhhh labda uelewa wangu mdogo maana ukiuza gari unaenda kubadili ownership na unalipa TRA kwa gari ndogo nadhani 70000
Ukiuza gari, nyumba nk lazima ulipe 10% ya bei uliouza inaitwa capital gain, so hio kodi huwez kwepa why? Ukiuza gari au kununua ili ubadilishe umiliki lazma ulipe hio 10% bila kulipa hautofanikiwa
 
Tin no ni usajili wa mlipa kodi yeyote na kwa kuwa wafanyakazi wanalipa kodi wanapaswa kuwa nayo ni mawazo yangu lkn mkuu
Mawazo yako ni mgando. Hata kabla ya uhuru watumishi wa uma hulipa kodi kwa utaratibu ulioainishwa,ambao upo wazi, sasa hiyo TIN NUMBER kwa mtumishi itaongeza nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…