Mfanyakazi/Mwajiriwa sasa kupewa TIN Number ili kutambulika kama mlipa kodi kupitia PAYE

Huwezi kupata ukweli kwa kutumia TIN eti kwa kila mfanyakazi. Full Stop.
 
Yaan kama mtumishi alitumia TIN yake kusajili biashara yake na akawa anaiendesha kinyume na kanuni za utumishi wa umma kama kutangaza conflict interest na mambo kama hayo
Kuna watumishi wengi sana watakaotaifishiwa biashara zao
 
Una utoto sana..
Kwamba muajiri nikiamua kuwafanya 50% muwe diwaka nashindwa vipi...
Na wewe una utoto uliopitiliza. Kwa hiyo waajiri wote hapa tz wana kazi za day worker? Na hata kama ni vibarua huwa kuna mikataba ya kazi kama kibarua lazima mwajiri awe nayo. Na siyo kila iana ya kazi anatakiwa kibarua.
 
Serikali haijawahi kuwa na nia njema na mfanyakazi wa nchii.Wanatafuta kukata kila senti tu.Tujiandae kwa mabaya hapo mbeleni
 
Hapa siungi mguu hoja,kuna watu walirithishwa mali,kuna watu mikopo yao ya kwanza waliifanyia biashara wakagenerate extra income,kuna watu walinunua mashamba 20yrs ago may b ekar ikikua liaki moja,now it worthy 10-40M,kuna watu wake zao ni wafanyakazi wanaolipwa vizuri zaidi yao au ni wafanyabiashara wakubwa na biashara zao wameandika majina ya waume zao kuna watu........malizia wengine wewe
 
Mie pia niliandika barua TRA ya kufunga biashara. Nadhani na ushauri niliomba humu. Sikufuatilia majibu ila nachokumbuka nilipeleka barua.
 
Acha upimbi wewe, yule mwenzio aliyekimbilia panga kwa yule dereva na kudai faini ya laki 5 kashatimuliwa, sasa akalime matikiti huko na panga lake, bado wewe [emoji23] [emoji23]
Afadhali yani nimepata ahueni ya moyo kusikia yule choko kapigwa chini. Mpenda sifa sana analeta ubabe wa kizamani mbele ya camera πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kinatafutwa uhujumu uchumi, kupitia uhujumu uchumi tunapata pesa nyingi Sana.
 
Biashara za watu
Mkuu Fafanua zaidi.
Kupitia uhujumu uchumi.Mtumishi ukikutwa na Mali nyingine kupitia TIN namba ni lzm itaifishwe sera za ujamaa mtumishi inatakiwa uwe masikini.Hata Kama umefanya ujasiliamali kihalali still Hadi waje wakuelewe sio kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…