Mfanyakazi/Mwajiriwa sasa kupewa TIN Number ili kutambulika kama mlipa kodi kupitia PAYE

Mfanyakazi/Mwajiriwa sasa kupewa TIN Number ili kutambulika kama mlipa kodi kupitia PAYE

Halafu ukija kuandaa hesabu zako za mwaka unafanyaje mkuu ili ubaki na faida kubwa??

Nikuibie siri ilivyokua inafanyika. Unalipa mishahara watumishi wako 50 tsh 300,000@ halafu kwenye mahesabu yako unaenda kuandaa kwa muhasibu/tax consultant unaandika umelipa watu 70 tsh 350,000@ kwa kuonesha labda daftari tu la mishahara na saini. Inapigwa hesabu mapato-matumizi(inflated) kinachobaki kinapigiwa hesabu Kofi

Sasa hivi itakua na TIN ya biashara na ya wafanyakazi 50 kwa mfano kilichoingia na kilichotoka tayari kinaonekana

Ila ofkoz njia nyingine za kukwepa zitapatikana tu(sitaziandika hapa) hahahaaa
Huwezi kupata ukweli kwa kutumia TIN eti kwa kila mfanyakazi. Full Stop.
 
Yaan kama mtumishi alitumia TIN yake kusajili biashara yake na akawa anaiendesha kinyume na kanuni za utumishi wa umma kama kutangaza conflict interest na mambo kama hayo
Kuna watumishi wengi sana watakaotaifishiwa biashara zao
 
Una utoto sana..
Kwamba muajiri nikiamua kuwafanya 50% muwe diwaka nashindwa vipi...
Na wewe una utoto uliopitiliza. Kwa hiyo waajiri wote hapa tz wana kazi za day worker? Na hata kama ni vibarua huwa kuna mikataba ya kazi kama kibarua lazima mwajiri awe nayo. Na siyo kila iana ya kazi anatakiwa kibarua.
 
Serikali haijawahi kuwa na nia njema na mfanyakazi wa nchii.Wanatafuta kukata kila senti tu.Tujiandae kwa mabaya hapo mbeleni
 
Yaani kama wewe ni mfanyakazi halafu unakagari kako au bodaboda(walimu wengi walikopa kununua boda) au bajaji ulisajili kwa commercial halafu ukala kona hulipi kodi yake ya kila mwaka lazima upatikane.

Yaani hata kama lilipata ajali halipo road hukuwahi kwenda kuripoti TRA jiandae.A Auuliliuza kwa mtu naye hajabadili jina jiandae.

Kudadadeki halafu kama ulishakuwa na tin number kwa jina lako huwezi kupewa nyingine.
Kimbembe wakukute wewe tin number yako unalipa kodi kubwa kwa biashara zako nyingine kama lodge wakati mshahara wako mdogo unaweza kuitwa utoe maelezo umepata wapi.

Wakute pia ulilipa capital gain
kwa tin number yako hiyo kwa Mali let's say ardhi au nyumba uliyonunua kwa bei kubwa wakati mshahara wako unasoma kama alivyokuacha jk TGS D lazima utaonekana.

Sasa ni zamu ya wafanyakazi kuishi kama mashetani imewadia
wengi wanatapatapa wanataka kutengeneza tin number nyingine wanashindwa system inawaambia tayari wanayo.

Wafanyakazi jiandaeni kisaikolojia kwa negative repercussions yatakayojiri kuhusu hili jambo.
Hapa siungi mguu hoja,kuna watu walirithishwa mali,kuna watu mikopo yao ya kwanza waliifanyia biashara wakagenerate extra income,kuna watu walinunua mashamba 20yrs ago may b ekar ikikua liaki moja,now it worthy 10-40M,kuna watu wake zao ni wafanyakazi wanaolipwa vizuri zaidi yao au ni wafanyabiashara wakubwa na biashara zao wameandika majina ya waume zao kuna watu........malizia wengine wewe
 
kwenye hili TRA wananiwinda... wamenipata sasa maskini... iko hivi....

Nilifungua biashara yangu miaka 10 nyuma ila nikaja kuifunga mwaka juzi baada ya hasara, sasa kule nadaiwa kodi pesa nyingi.. kosa langu wakati wa kufunga biasharar yangu sikuwaandikia barua.. sasa kodi inajizalisha hadi majuzi ndiyo nikashituka nikaandika kusitisha biashara ila kodi ni balaa - sasa nikimpa HR hiyo TIN si watanikamata kama kuku bandani? yaani nimejipeleka mwenyewe na wataanza kunikata kwenye mshahara ?

Kodi nayodaiwa hata kwa miaka 20 sitaweza kuilipa - nafikiria kuacha kazi lakini si kuitoa tena ile TIN number kwao.
Mie pia niliandika barua TRA ya kufunga biashara. Nadhani na ushauri niliomba humu. Sikufuatilia majibu ila nachokumbuka nilipeleka barua.
 
Acha upimbi wewe, yule mwenzio aliyekimbilia panga kwa yule dereva na kudai faini ya laki 5 kashatimuliwa, sasa akalime matikiti huko na panga lake, bado wewe [emoji23] [emoji23]
Afadhali yani nimepata ahueni ya moyo kusikia yule choko kapigwa chini. Mpenda sifa sana analeta ubabe wa kizamani mbele ya camera 😂😂😂
 
IMG_6037.jpg

IMG_6038.jpg
 
Kinatafutwa uhujumu uchumi, kupitia uhujumu uchumi tunapata pesa nyingi Sana.
 
Biashara za watu
Mkuu Fafanua zaidi.
Kupitia uhujumu uchumi.Mtumishi ukikutwa na Mali nyingine kupitia TIN namba ni lzm itaifishwe sera za ujamaa mtumishi inatakiwa uwe masikini.Hata Kama umefanya ujasiliamali kihalali still Hadi waje wakuelewe sio kesho
 
Back
Top Bottom