Nomadiq
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 8,572
- 22,926
Mtu wenu huyu si tuliwapa mumfikishe mirembe, alitoroka?Rhabhekhaaaa!!
Mtu wenu huyu si tuliwapa mumfikishe mirembe, alitoroka?Rhabhekhaaaa!!
alisema hataki kujibizana tena na huyu boya!Umemsahau kapeace, kuna post wakenyukana hatar
Kua makini utauponza huo shauriyako usiseme sikukwambia idadi ya watu wanaoleft naona inazidi kuongezekaghafla akanirukia akanikumbatia kwa sekunde kadhaa huku ameficha uso wake, baada ya muda aliniachia akaondoka kwenda ofisini kwake bila ya kuniambia chochote.
Huyo anawahitaji nyie mumtulize, lakini mnajifanya km hamjui vile, LolMtu wenu huyu si tuliwapa mumfikishe mirembe, alitoroka?
Na ya mfanyakazi mwenzie.Hebu tuanzie hapa, wewe ni jinsia ya kike au kiume?
Unalalamika lalamika tu kama vile nini, go straightPicha iko wapi sasa, tunakomentije?
Sawa umeshindwa kuweka picha ya tukio la kukumbatiwa ila sasa ndio hata picha yako kweli? Okay hiyo nayo ngumu, ndio hata picha ya mkumbatiaji sasa? Tufanye yote hayo magumu, basi ya vidole alivyokuwa anaviangalia je?
Ngoja wahusika waje kumpa vitu vyake! naenda kucheki game ya city.Huyo anawahitaji nyie mumtulize, lakini mnajifanya km hamjui vile, Lol
Mie niko hapa natazama dkk ya 5 bila bila.Ngoja wahusika waje kumpa vitu vyake! naenda kucheki game ya city.
Najikuta Mbaga JrAcha ujuaji wewe, unajikuta nani?
Hamna sera ya safeguarding hapo kazini kwenu? Ukileta za kuletwa unafukuzwa kazi! Mimi kwa mbinu hiyo ya vidole nilimla shangazi yako kimasikhara!Kabla ya tukio hili Kuna siku tulikua tunaongea, kumbe alikua ananiangalia vidole vyangu vya mikono, ghafla akajikuta amenishika mkono af akashtuka, akatoa mkono.
Una tako lakini au ndio maneno matupu???Leo alikuja ofisini kwangu, akaongea ongea ila nilihisi tu hayuko sawa, ghafla akanirukia akanikumbatia kwa sekunde kadhaa huku ameficha uso wake, baada ya muda aliniachia akaondoka kwenda ofisini kwake bila ya kuniambia chochote.
Kabla ya tukio hili Kuna siku tulikua tunaongea, kumbe alikua ananiangalia vidole vyangu vya mikono, ghafla akajikuta amenishika mkono af akashtuka, akatoa mkono.
Na mimi natulia kama sijui kinachoendelea, kesho nikifika namsalimia kama kawaida kama hakuna kilichotokea, kama yakimzidi atafunguka mwenyewe ila kwa hii mitego mitego hawezi nipata hata kidogo.