Mfanyakazi mwenzangu amenitamani kisirisiri, ananionesha ishara ila hafunguki

Mfanyakazi mwenzangu amenitamani kisirisiri, ananionesha ishara ila hafunguki

Leo alikuja ofisini kwangu, akaongea ongea ila nilihisi tu hayuko sawa, ghafla akanirukia akanikumbatia kwa sekunde kadhaa huku ameficha uso wake, baada ya muda aliniachia akaondoka kwenda ofisini kwake bila ya kuniambia chochote.

Kabla ya tukio hili Kuna siku tulikua tunaongea, kumbe alikua ananiangalia vidole vyangu vya mikono, ghafla akajikuta amenishika mkono af akashtuka, akatoa mkono.

Na mimi natulia kama sijui kinachoendelea, kesho nikifika namsalimia kama kawaida kama hakuna kilichotokea, kama yakimzidi atafunguka mwenyewe ila kwa hii mitego mitego hawezi nipata hata kidogo.
Tuoneshe vidole vya miguu yako na Sisi majaji maana Zama za kuishi kwa picha za nadharia zimepitwa na wakati
 
Acha ujinga dogo mwambie mchelewe kutoka ofcn mnapiga stori wenyewe mkibaki wenyewe inamisha kwenye zile meza tia mbo.0h kunaco hlf mnangoja miez 9 kupata majibu yenu
 
Back
Top Bottom