Huyu sio male au female, ila ni fm.Hebu tuanzie hapa, wewe ni jinsia ya kike au kiume?
unaleta picha za vitu anavyolambishwa kabla hujapigwa pipe.View attachment 3340428
Chukua zawadi ya pipi hiyo ulambe
Waungane na bichwaHuyo mwanaume anakupenda kweli, mkubalie na uumzalie mapacha 🔥
wewe ni deki ya CD, una support flash na cdUkija kujua mimi ni mwanaume rijali utakua umeshachelewa sana
Kanuni na MAADILI ya kazi haziruhusu viashiria vya mapenzi kazini. KUMBUKA hiloLeo alikuja ofisini kwangu, akaongea ongea ila nilihisi tu hayuko sawa, ghafla akanirukia akanikumbatia kwa sekunde kadhaa huku ameficha uso wake, baada ya muda aliniachia akaondoka kwenda ofisini kwake bila ya kuniambia chochote.
Kabla ya tukio hili Kuna siku tulikua tunaongea, kumbe alikua ananiangalia vidole vyangu vya mikono, ghafla akajikuta amenishika mkono af akashtuka, akatoa mkono.
Na mimi natulia kama sijui kinachoendelea, kesho nikifika namsalimia kama kawaida kama hakuna kilichotokea, kama yakimzidi atafunguka mwenyewe ila kwa hii mitego mitego hawezi nipata hata kidogo.
Chai 🍵🍵🍵Leo alikuja ofisini kwangu, akaongea ongea ila nilihisi tu hayuko sawa, ghafla akanirukia akanikumbatia kwa sekunde kadhaa huku ameficha uso wake, baada ya muda aliniachia akaondoka kwenda ofisini kwake bila ya kuniambia chochote.