Mfanyakazi mwenzangu amenitamani kisirisiri, ananionesha ishara ila hafunguki

Chukua chuma hicho, mizinga ikianza usianze kulalamika. Kinachotafutwa hapo, ni hicho kisalio kidogo ulichonacho, akitumie mpaka ushindwe kununua suruali ndio akutelekeze.
 
ghafla akanirukia akanikumbatia kwa sekunde kadhaa huku ameficha uso wake, baada ya muda aliniachia akaondoka kwenda ofisini kwake bila ya kuniambia chochote.
Kua makini utauponza huo shauriyako usiseme sikukwambia idadi ya watu wanaoleft naona inazidi kuongezeka
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚achana nae hatamimi anantegaa sijui anapepo alaf nlijua nipo mwenyew
 
Unalalamika lalamika tu kama vile nini, go straight
 
Upewe mic unaweza ukaongezea nyama pamoja na kusema wewe ni jinsia gani maana umeandika kama wote humu ni coworkers wako hapo ofisini kwenu
 
Kabla ya tukio hili Kuna siku tulikua tunaongea, kumbe alikua ananiangalia vidole vyangu vya mikono, ghafla akajikuta amenishika mkono af akashtuka, akatoa mkono.
Hamna sera ya safeguarding hapo kazini kwenu? Ukileta za kuletwa unafukuzwa kazi! Mimi kwa mbinu hiyo ya vidole nilimla shangazi yako kimasikhara!
 
Una tako lakini au ndio maneno matupu???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…