Mfanyakazi mwenzangu amenitamani kisirisiri, ananionesha ishara ila hafunguki

Kanuni na MAADILI ya kazi haziruhusu viashiria vya mapenzi kazini. KUMBUKA hilo
 
Hiyo ofisi yenu inayoendekeza watu kushikana shikana kazini inajihusisha na utoaji wa huduma gani?
 
Hii inabaki kuwa sandakarawe maana haijulikani anayetamaniwa ni Nan je n mwanaume au mwanamke
 
Wanaume watoro kwenye vikao ndio km hawa. Mwanaume unaandikaje kitu kama hiki??
 
Mwandiko wa kiume huu, kuna majaa yatajaa kwenye mfumo
 
kuna Mwanamke anaenda kuliwa KIMASIHARA!
 
Chai 🍵🍵🍵
 
Kama jinsia ya kiume unakalibia ku left kambi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…