Unatafuta wakutapeli na hicho kiforex [emoji25] [emoji25]Acha upumbavu wewe...
Niko kwenye ajira mwaka wa pili huu.
Nimeanza Kutrade Forex mwezi September.
Kwa mpunga naopiga next month naandika resignation letter. Kwanini, kwa sababu mshahara wangu wa mwezi naweza kuupata ndani ya week moja soko likikubali.
Kuajiriwa ni utumwa, ukweli utabaki milele
Uoga wako Umasikini wako (Bila shaka wewe ni Mwalimu wa secondary)
Daaaah we jamaa si juzi tu ulikua unalilia mshahara leo hii ushakua tajiri wa forex unawaambia wenzio waache kazi?
Ama kweli maisha bila unafiki hayaendi
Aliyekuambia tumeelewa hivyo ni nan......hiki ulichokiongea hapa sio mtazamo wa Padri Mcharo, ni jinsi vile wew umeelewa tena baada ya kusoma comments za watu mdo ukapata huo mwanga aki.Huu uzi umetawaliwa na watu wenye vichwa vigumu sijapata kuona japo sijawai kuajiriwa pia sijawai kujiajiri bado lakini concept nzima ya kuacha kazi nimeielewa vilivyo labda nijaribu kui summarize
“unakusanya mtaji kwenye ajira uliyoajiriwa una invest katika shughuri za kijasiriamali izo biashara zako zinakuwa mpaka zinazidi mapato ya mshahara unaoupata kwenye ajira yako na zinavyokuwa ivyo sasa zinaitaji usimamizi wako wakaribu hivyo ndio muda sahihi wa kuacha ajira yako na kusimamia biashara zako kwasababu zinakuingizia mapato kuliko kwenye ajira yako pia zinaitaji usimamizi wakaribu hii inamaana katika stage hiyo weutegemei ajira tena"
Hiyo ndo concept fupi sasa wengi wenu humu munaposikia kuacha kazi nahisi uwelewa wenu ni mtu from no where tu anaacha kazi ndomnavyoelewa
NB: kuajiriwa kutakufanya uwishi na stress maisha yako yote hii aina maana kwamba usiajiriwe, ajiriwa ili ukusanye mtaji siri ya utajiri ilishafaamika sasaivi sio kurumbana tu apa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jf ni kibokkDaaaah we jamaa si juzi tu ulikua unalilia mshahara leo hii ushakua tajiri wa forex unawaambia wenzio waache kazi?
Ama kweli maisha bila unafiki hayaendi
Na kuwaahidi utajiri, kama wale manabii akina TransfomaKuna watu wameibuka siku hizi, wanajiita Inspirational Or motivational speakers, hawa wanakula sana hela za vijana kwa semina za ujanja ujanja wakihamasisha vijana wajiajiri wakati wao wameajiriwa.
Kama ulikuwa unaelewa hivyo sasa tatizo lipowapi kwenye kujiajiri na unapozungumzia nikifika umri wa kuajiriwa unamchukuliaje anayesoma chuo mtoto heshimu mwanachuo kuna umri babazako na ata babu zakoAliyekuambia tumeelewa hivyo ni nan......hiki ulichokiongea hapa sio mtazamo wa Padri Mcharo, ni jinsi vile wew umeelewa tena baada ya kusoma comments za watu mdo ukapata huo mwanga aki.
By the way endelea kukua/somaa hadi utakapofikia aidha umri wa kuajiriwa au kujiajiri ndo urudi hapa, probably utaongea kitu halisi zaidi kuliko ulichoongea saiv.
padri mcharo kawa mtamu[emoji125] [emoji125] [emoji125]Huna lolote vyanzo vinne tarehe 20 uje kutoa macho hapa kama mshahara tayari ha ha ....
In my simple analysis wew bado ni chalii kubali tu. Haujawah kuajirirwa na wala haujawah jiajiri, it means you make no income.Kama ulikuwa unaelewa hivyo sasa tatizo lipowapi kwenye kujiajiri na unapozungumzia nikifika umri wa kuajiriwa unamchukuliaje anayesoma chuo mtoto heshimu mwanachuo kuna umri babazako na ata babu zako
Mi naamini njia ya mafanikio huwa ni siri ya mtu. Hawa wahamasishaji wengi waongo.Namkumbuka marehemu Seth (Bikra wa kisukuma) apumzike kwa amani.....
Alikua anapinga sana kuajiriwa, anatoa shule bila ada namna ya kujiajiri, ila hadi anafariki alikua kaajiriwa Efm radio
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Daaaah we jamaa si juzi tu ulikua unalilia mshahara leo hii ushakua tajiri wa forex unawaambia wenzio waache kazi?
Ama kweli maisha bila unafiki hayaendi
Muonyeshe hii msg pengine atakua makiniKuna jamaa yangu anataka acha kazi aje kufuga kuku ila nimemwambia kuna changamoto kubwa huku dunian kasema Kazi za kuajiriwa zimemchosha
Mkuu kua mpole mtoa mada anachosema ni sahihi sana...kimsingi mtoa anasema kufanya calculated risk.mfano mzuri kama we we...Tazama wewe mtumwa wa ajira.
Leo Jpili nimeingiza Mshahara wa walimu wanne wa secondary.
Angalia Profit hapo juu kabisa change into TZS.
Fala wewe. Uoga wako umasikini wako.
cc: Evelyn Salt, Dreka
View attachment 638590
Ashauriki mkuu.... Kasema ananyanyasika kazini na mshahara ni Mdogo unaishia kwenye pango LA nyumba ata kununua godoro na kitanda imekua issue sahivi anamwaka mmoja kazini na miezi kadhaaMuonyeshe hii msg pengine atakua makini
Vibua ni aina ya samaki, hayo unayosema wewe ni mabuaHahaha wewe nimekushindwa tabia sio kwa kichambo hicho 'vibua'
mi najua ni yale masalia ya mahindi baada ya kutoa zao lake yanabaki majani, sasa majani yanawekwa kwenye jokofu au ndo uganga nini?