Mfanyakazi usithubutu kuacha kazi kwa kushawishiwa kwa njia yoyote ile

Mfanyakazi usithubutu kuacha kazi kwa kushawishiwa kwa njia yoyote ile

Mm nadhan watu tusitake kuwaaminisha wengine kile unachokiona ww ,vitu vpo tofauti xana na kila mtu anajua anachokitafuta na usimlazmishe mtu kwa hoja dhaifu hivi nadhani kila mtu afanye kile anachotaka yy ,,hii menylity ya umaskin inatusumbua xana waafrika ,,unapotoa hoja hakikisha unalenga pande zote kiufupi ni mtazamo wako tu lkn pia ni mhemko tu huu unakusumbua ,,weka hoja kwani walioopo kwenye ajira wote wametajirika na ajira zao
 
Acha upumbavu wewe...
Niko kwenye ajira mwaka wa pili huu.
Nimeanza Kutrade Forex mwezi September.
Kwa mpunga naopiga next month naandika resignation letter. Kwanini, kwa sababu mshahara wangu wa mwezi naweza kuupata ndani ya week moja soko likikubali.
Kuajiriwa ni utumwa, ukweli utabaki milele
Uoga wako Umasikini wako (Bila shaka wewe ni Mwalimu wa secondary)
Unatafuta wakutapeli na hicho kiforex [emoji25] [emoji25]
 
Tanzania tunachokosa ni taarifa sahihi za unachotakiwa kukifanya wakati wowote ndio maana hata ukiacha kazi unakua hauna uhakika wa kile unachoenda kukifanya...
 
Daaaah we jamaa si juzi tu ulikua unalilia mshahara leo hii ushakua tajiri wa forex unawaambia wenzio waache kazi?
Ama kweli maisha bila unafiki hayaendi
e4558cdaecb9ff64737d9dbf5e972330.jpg
944704163041c8a1e080fba5c6f2fe69.jpg

Na ni mcharuko haswaaa
 
Mwingine ni Rugemalira Mutahaba,kila sikua anatoa mbinu,faida na fursa kibao,lakini chakushangaa yeye kaajiriwa na Clouds Media Group.... Njoo cha yule vuvuzela wake Hasan Ngoma sasa, daily kuwananga tu,wale wote walioajiriwa
 
Huu uzi umetawaliwa na watu wenye vichwa vigumu sijapata kuona japo sijawai kuajiriwa pia sijawai kujiajiri bado lakini concept nzima ya kuacha kazi nimeielewa vilivyo labda nijaribu kui summarize

“unakusanya mtaji kwenye ajira uliyoajiriwa una invest katika shughuri za kijasiriamali izo biashara zako zinakuwa mpaka zinazidi mapato ya mshahara unaoupata kwenye ajira yako na zinavyokuwa ivyo sasa zinaitaji usimamizi wako wakaribu hivyo ndio muda sahihi wa kuacha ajira yako na kusimamia biashara zako kwasababu zinakuingizia mapato kuliko kwenye ajira yako pia zinaitaji usimamizi wakaribu hii inamaana katika stage hiyo weutegemei ajira tena"
Hiyo ndo concept fupi sasa wengi wenu humu munaposikia kuacha kazi nahisi uwelewa wenu ni mtu from no where tu anaacha kazi ndomnavyoelewa

NB: kuajiriwa kutakufanya uwishi na stress maisha yako yote hii aina maana kwamba usiajiriwe, ajiriwa ili ukusanye mtaji siri ya utajiri ilishafaamika sasaivi sio kurumbana tu apa
Aliyekuambia tumeelewa hivyo ni nan......hiki ulichokiongea hapa sio mtazamo wa Padri Mcharo, ni jinsi vile wew umeelewa tena baada ya kusoma comments za watu mdo ukapata huo mwanga aki.

By the way endelea kukua/somaa hadi utakapofikia aidha umri wa kuajiriwa au kujiajiri ndo urudi hapa, probably utaongea kitu halisi zaidi kuliko ulichoongea saiv.
 
Kuna watu wameibuka siku hizi, wanajiita Inspirational Or motivational speakers, hawa wanakula sana hela za vijana kwa semina za ujanja ujanja wakihamasisha vijana wajiajiri wakati wao wameajiriwa.
Na kuwaahidi utajiri, kama wale manabii akina Transfoma
 
Aliyekuambia tumeelewa hivyo ni nan......hiki ulichokiongea hapa sio mtazamo wa Padri Mcharo, ni jinsi vile wew umeelewa tena baada ya kusoma comments za watu mdo ukapata huo mwanga aki.

By the way endelea kukua/somaa hadi utakapofikia aidha umri wa kuajiriwa au kujiajiri ndo urudi hapa, probably utaongea kitu halisi zaidi kuliko ulichoongea saiv.
Kama ulikuwa unaelewa hivyo sasa tatizo lipowapi kwenye kujiajiri na unapozungumzia nikifika umri wa kuajiriwa unamchukuliaje anayesoma chuo mtoto heshimu mwanachuo kuna umri babazako na ata babu zako
 
Kama ulikuwa unaelewa hivyo sasa tatizo lipowapi kwenye kujiajiri na unapozungumzia nikifika umri wa kuajiriwa unamchukuliaje anayesoma chuo mtoto heshimu mwanachuo kuna umri babazako na ata babu zako
In my simple analysis wew bado ni chalii kubali tu. Haujawah kuajirirwa na wala haujawah jiajiri, it means you make no income.

We endelea kukua usome then uje mtaa uanze mtanange wa kusaka ajira au/kujiajiri ndo utaelewa nin uzungumze hapa. By the way cjadharau mtu anaitwa mwanachui and I ve never spoke nothin abt them.
Na hayo maswala ya mtu kusoma cjui akiwa na umri wa baba au babu yako I think lazima kuna sababu ya msingi ya mtu huyo wa umri huo kufanya hivo (of which primary ni ajira) Inaonekana umepanic design flan, just be calm.

Kwa status yako kuchangia hii mada asee "unapanda mti na viatu" coz there is no reality. Let time be the ryt judge kwa haya nayoongea.
 
Namkumbuka marehemu Seth (Bikra wa kisukuma) apumzike kwa amani.....
Alikua anapinga sana kuajiriwa, anatoa shule bila ada namna ya kujiajiri, ila hadi anafariki alikua kaajiriwa Efm radio
Mi naamini njia ya mafanikio huwa ni siri ya mtu. Hawa wahamasishaji wengi waongo.
 
23ac5f6b6195fcb3cfa7c1634851a802.jpg


OK naweza kuwa chalii lakini kwasiku minimum naingiza $10 adi $20 weendelea kukariri kwamba unajua kilakitu nakati kuna chalii ana miaka 13 ana kampuni na umuumu kuna chalii kama mimi kiumri ana mafikio makubwa anahisa kwenye kampuni sichini ya nne hiki kipindi cha sayansi na teknolojia age does not matter na najivunia kuwa below 25 kwasabu nina malengo kabla kufika 25 kufika mbali
 
Kiukweli kujairiwa ni utumwa na muajiriwa ni mtumwa... Kama kuna MTU anapenda kuajiriwa huyo ni mtumwa...


Mimi ni muajiriwa nakiri kuwa mtumwa,
 
Tazama wewe mtumwa wa ajira.
Leo Jpili nimeingiza Mshahara wa walimu wanne wa secondary.
Angalia Profit hapo juu kabisa change into TZS.
Fala wewe. Uoga wako umasikini wako.
cc: Evelyn Salt, Dreka


View attachment 638590
Mkuu kua mpole mtoa mada anachosema ni sahihi sana...kimsingi mtoa anasema kufanya calculated risk.mfano mzuri kama we we...

.bila shaka pesa za kuinvest forex ulizipata kutoka ajira yako na baada ya kustabilize kwenye forex ndo tayari ume decide kuacha ajira uliyonayo.
Kimsingi umefanya calculated risk!
 
Muonyeshe hii msg pengine atakua makini
Ashauriki mkuu.... Kasema ananyanyasika kazini na mshahara ni Mdogo unaishia kwenye pango LA nyumba ata kununua godoro na kitanda imekua issue sahivi anamwaka mmoja kazini na miezi kadhaa
 
Hahaha wewe nimekushindwa tabia sio kwa kichambo hicho 'vibua'

mi najua ni yale masalia ya mahindi baada ya kutoa zao lake yanabaki majani, sasa majani yanawekwa kwenye jokofu au ndo uganga nini?
Vibua ni aina ya samaki, hayo unayosema wewe ni mabua
 
Back
Top Bottom