Naona haujataka kuelewa bwana mdogo......Ukimaliza shule urudi hapa na hizi porojo zako.
OK naweza kuwa chalii lakini kwasiku minimum naingiza $10 adi $20 weendelea kukariri kwamba unajua kilakitu nakati kuna chalii ana miaka 13 ana kampuni na umuumu kuna chalii kama mimi kiumri ana mafikio makubwa anahisa kwenye kampuni sichini ya nne hiki kipindi cha sayansi na teknolojia age does not matter na najivunia kuwa below 25 kwasabu nina malengo kabla kufika 25 kufika mbali
Hakuna aliyeajiriwa ambaye hayuko kwenye utumwa...bt what to be done ili kutoka kwenye huo utumwa nadhan ni kitu cha msingi sana kukiangalia kuliko mawazo ya mtoto ya below 25 yrs kuja kuponda ajira...wakat hata support ya ada anayopewa na aidha wazaz au walezi wake iko rooted kwenye ajira.Kiukweli kujairiwa ni utumwa na muajiriwa ni mtumwa... Kama kuna MTU anapenda kuajiriwa huyo ni mtumwa...
Mimi ni muajiriwa nakiri kuwa mtumwa,
Mganga hajigangi[emoji1] [emoji1] [emoji1]Namkumbuka marehemu Seth (Bikra wa kisukuma) apumzike kwa amani.....
Alikua anapinga sana kuajiriwa, anatoa shule bila ada namna ya kujiajiri, ila hadi anafariki alikua kaajiriwa Efm radio
We ng'ombe wa maziwa umeacha kufuga?au lilikuwa biti tu?haaàaCha msingi ni kufuata moyo wako,mambo ya kufuata mkumbo utaumia awamu hii ya 5.....Kuna watu wapo kuchuza wenzao kumbe yeye kashapata shavu anawachuzeni nyinyi tu kwenye migomo.
Whitehorse ulichokula jana aseee naomba ukiweke kwenye dayati yako ya kila siku...kina manufaa sanaYule mfanyakazi wa supermarket ya kule Canada nae atakuwa amekuelewa. Hawezi kuacha kazi yake kwa kushawishiwa ghafla [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Naona haujataka kuelewa bwana mdogo......Ukimaliza shule urudi hapa na hizi porojo zako.
Naona haujataka kuelewa bwana mdogo......Ukimaliza shule urudi hapa na hizi porojo zako.
Huyu mcharo ni mtu wa fixHa ha ha huyo ndio padri mcharuko ana mikwala....
Nani kasema imeanza janaHalafu wanadhani hii forex ndio imeanza jana...vijana bwana
Kwa wanaoifahamu saikolojia ya mwanadamu wanajua kuwa pale mlengwa anapotumia jitihada nyingi kujitetea kuna uwalakini katika kile alichojinadi nacho. Pengine ukute si mkweli, na ndio maana nafsi inamsuta ana amua kujitetea hadi mishipa inamtoka.Unadhani nategemea ajira moja.
Niko Serikalini, niko Private company (japo kwa kuibia napo nataka kuwatema), niko na biashara zangu mbili (Forex imekua ya tatu sasa).
Na hizo Freezer Tabora niliamua kuuza baada ya mtu nilomweka kuuza samaki kunizingua.
Maisha kupambana. Ukilegea subiri upambaniwe. Kalagabaho
Kubali tu yaishe bana. Kwani hii ni mara ya kwanza kubananishwa kwa kuongea sound bulaza.Simple. Kwa sababu ni haki yangu.
Mwana FA anakwambia "Hata kama nina laki mfukoni, bado nitaokota shilingi mia barabarani"
Si unaona kama hapa upo busy kusema sijui una biashara tatu. Biashara zipi hizo blaza.....maana mtu mwenye biashara za kueleweka zaidi ya moja huwezi mkuta anamuda wa kukimbizana na maagizo ya taasisi ya kuajiriwa nayo. Yaani unaingiza pesa nyingi kwenye biashara halafu utumie muda wako kukaa sehemu moja unafanya kazi ya masaa ya kutwa nzima?! Mbona hii haimake sense hata kidogo.Walimu mna vichwa vigumu kama ngozi ya paka.
Naposema ajira namaanisha chanzo cha mapato.
Nina vyanzo vya mapato vizivopungua vinne mpaka sasa.
Nataka nitemane na viwili nibaki na business zangu mbili tu.
Si ndio hapo maana kwa biashara ukisha kuwa nazo hata mbili tu zinakwenda fresh huwezi kuwa na muda wa kupambana na ajira za kusubiri mwisho wa mwezi na katikati ya mwezi unatumia gharama kibao!Ana vyanzo vinne vya biashara afu tar.21 anaanza kutusumbua tumwangalizie salio watu wengine bhana.....
Sio tu kupambana na ajira ha ha haSi ndio hapo maana kwa biashara ukisha kuwa nazo hata mbili tu zinakwenda fresh huwezi kuwa na muda wa kupambana na ajira za kusubiri mwisho wa mwezi na katikati ya mwezi unatumia gharama kibao!
Habari wanajukwaa!
....
Pia napenda kusema kuwa mafanikio ni pale moyo wa mtu unaporidhika na vile alivyo na si kumiliki magorofa au kampuni. Mwingine hata kuwa mpika chai wa waziri kwake ni mafanikio hivyo acha kumbughudhi ili ajione mnyonge aache kazi.
Si kweli kabisa hawa wa forex .... Wanapata hela kwa training.. Lakini hawafanyi trading wao wenyewe.. Mtu anayefanya trading halisia kwa a/c yake , hawezi kusema hivyo.. Ni biashara ya up and down, sasa yeye anajihakikishia vipi kuwa mwezi ujao mambo yatakuwa mazuri..Sound tu za forex..Sasa wote tutaacha kazi tuje forex???
Wengine wakafuge, wengine muende forex, wengine wakalime, wengine tubaki kuhudumia umma....