Somo la jana, kweli kabisa, pointi tupu, watu tunadanganyana sana, kila mtu ana nafasi yake duniani, anayekubeza na kazi yako ukimchunguza waweza kuta ni tapeli tu, au ndio kawaida yake kuwachanganya watu, piga kazi, ukishindwa au ukiacha iwe kwa maamuzi yako na siyo kwa kushawishiwa, kazi ni steady Income, mengine sijuwi Bitcoin/Forex ni aina ya Gambling, mwenye akili na busara twajuwa ataamuwa lipi, huwezi kuendesha maisha ya familia yako kwa kubahatisha hata siku moja..
[HASHTAG]#hapakazitu[/HASHTAG]