TANZIA Mfanyakazi wa CRDB afariki akifanya mazoezi Daraja la Tanzanite

Muhimu sana kucheki pressure. Kufanya jogging sio jambo la lazima kwa kila mtu kulifanya muda mwingine ni vema kufanya mazoezi ya viungoa madogo madogo kama kustrech then unafocus na maswala ya chakula tu. Muhimu ni kubalance diet yako mazoezi si lazima kukimbia hata kutembea ni mazoezi mazuri sana.
.........Benki inashirikiana na familia tangu taarifa ya ajali ilipotokea......
 
Muhimu sana kucheki pressure. Kufanya jogging sio jambo la lazima kwa kila mtu kulifanya muda mwingine ni vema kufanya mazoezi ya viungoa madogo madogo kama kustrech then unafocus na maswala ya chakula tu. Muhimu ni kubalance diet yako mazoezi si lazima kukimbia hata kutembea ni mazoezi mazuri sana.
Naona unajipA moyo na kujustify uvivu wa kutokufanya mazoezi
 
Mfanyakazi wa benki ya CRDB, Stanley Josiah amefariki dunia akiwa anafanya mazoezi kwenye Daraja la Tanzanite.

Taarifa za kifo chake hicho zimethibitishwa leo Jumamosi Juni 14,2025 na Mkurugenzi wa Mawasiliano

Benki ya CRDB, Tully Mwambapa, alipozungumza na Mwananchi Didital.

Tully amesema mpaka mauti yanamkuta, Josiah alikuwa mkuu wa kitengo cha operesheni za mikopo Benki ya CRDB.

"Benki imepoteza mtu mahiri sana hivyo menejimenti na wafanyakazi inaungana na familia yake katika safari hii ya mwisho," amesema Mwambapa ambaye ameeleza kuwa msiba upo nyumbani kwa marehemu, Tabata Kinyerezi.

"Benki inashirikiana na familia tangu taarifa ya ajali ilipotokea hadi sasa kufanya maandalizi yote muhimu hadi siku ya kumpumzisha mwenzetu kwa taratibu tulizojiwekea kama benki," amesema na kuongeza kuwa, mwili wa marehemu unatarajiwa kupumzishwa Jumanne ijayo Juni 17, 2025 nyumbani kwako huko mkoani Mbeya.

Hata hivyo taarifa ambazo Mwananchi imezipata, zinasema alifika asubuhi mapema ofisini na kuacha gari yake ofisini kwa ajili ya kwenda kufanya mazoezi ya kukimbia.

Chanzo hicho cha habari kinasema, mara nyingi hufanya hivyo kila siku asubuhi.
View attachment 3368481
Dear fellow runner RIP. Ni route yangu ya jogging kila mara. Najua sio kwamba wengine tuko na neema zaidi yako. Lakini Mungu ameamua uondoke hivyo. Rest Well Champ😌
 
Poleni wafiwa. Ni ngumu kwa familia. Tuwe tunaandika wosia au kuacha taarifa muhimu
 
Haijasemwa kama ametumbukia, amejirusha, ameanguka ghafla n.k

Au kuna wahuni walimlia timing asubuhi mapema wakafanya yao

Au
Au
Au

Watanzania dont jump into conclusion
Nimesoma nikahisi mimi ndio kichwa kigumu, hii taarifa ipo ipo tu!
 
Huyu huenda amepata HEART ATTACK kutokana na kupunguza mwili ghafla Sana, Tena Kwa mazoezi makali mno kias cha kutengeneza shock kwny moyo.

mwangalie manyonyo kifuani,kitambi na miguu yake. Utagundua alikua overweight na ameupunguza mwili wake rapid sana
 
Mfanyakazi wa benki ya CRDB, Stanley Josiah amefariki dunia akiwa anafanya mazoezi kwenye Daraja la Tanzanite.

Taarifa za kifo chake hicho zimethibitishwa leo Jumamosi Juni 14,2025 na Mkurugenzi wa Mawasiliano

Benki ya CRDB, Tully Mwambapa, alipozungumza na Mwananchi Didital.

Tully amesema mpaka mauti yanamkuta, Josiah alikuwa mkuu wa kitengo cha operesheni za mikopo Benki ya CRDB.

"Benki imepoteza mtu mahiri sana hivyo menejimenti na wafanyakazi inaungana na familia yake katika safari hii ya mwisho," amesema Mwambapa ambaye ameeleza kuwa msiba upo nyumbani kwa marehemu, Tabata Kinyerezi.

"Benki inashirikiana na familia tangu taarifa ya ajali ilipotokea hadi sasa kufanya maandalizi yote muhimu hadi siku ya kumpumzisha mwenzetu kwa taratibu tulizojiwekea kama benki," amesema na kuongeza kuwa, mwili wa marehemu unatarajiwa kupumzishwa Jumanne ijayo Juni 17, 2025 nyumbani kwako huko mkoani Mbeya.

Hata hivyo taarifa ambazo Mwananchi imezipata, zinasema alifika asubuhi mapema ofisini na kuacha gari yake ofisini kwa ajili ya kwenda kufanya mazoezi ya kukimbia.

Chanzo hicho cha habari kinasema, mara nyingi hufanya hivyo kila siku asubuhi.
View attachment 3368481
Pole nyingi kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki pamoja na Taasisi nzimanya CRDB. Ahadi ya Mungu imetimia Kwake. Bado kwetu tu. Mwenyezi Amrehemu Jamaa.
 
Inawezekana labda mazoezi yamepelekea moyo kufanya kazi isivyokawaida na kuleta tatizo.
 
Back
Top Bottom