MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Mwanzoni mwa miaka ya 90 Tanzania ilimpoteza mwanariadha nyota marehemu Simon Naali kwa kugongwa na gari mazoezini. Angalau sasa hivi vijana wa riadha wanakuwa na magari yanayowafuata huku kukiwa na mpigapicha. Pia huwezi kuona staa wa riadha anafanya mazoezi mjini. Huwa wanatoka nje ya mji. Wakiwa mjini utawakuta uwanjani. Hawa wenzangu ambao sio professional hujiendea bila tahadhari yoyote hasa sehemu za mijini.Watu wanakimbiakjmbia bila mpangilio,maZoezi ni kama yamevaniwa sahvi
Anyway poleni
Ova