Aganza Maisha
Senior Member
- Jul 7, 2019
- 147
- 430
.........Benki inashirikiana na familia tangu taarifa ya ajali ilipotokea......Muhimu sana kucheki pressure. Kufanya jogging sio jambo la lazima kwa kila mtu kulifanya muda mwingine ni vema kufanya mazoezi ya viungoa madogo madogo kama kustrech then unafocus na maswala ya chakula tu. Muhimu ni kubalance diet yako mazoezi si lazima kukimbia hata kutembea ni mazoezi mazuri sana.
xumanyoko toa pole kwanza halafu urudi baadae....Hilo tumbo anaonekana ni mdau wa supu za mapupu
Naona unajipA moyo na kujustify uvivu wa kutokufanya mazoeziMuhimu sana kucheki pressure. Kufanya jogging sio jambo la lazima kwa kila mtu kulifanya muda mwingine ni vema kufanya mazoezi ya viungoa madogo madogo kama kustrech then unafocus na maswala ya chakula tu. Muhimu ni kubalance diet yako mazoezi si lazima kukimbia hata kutembea ni mazoezi mazuri sana.
Dear fellow runner RIP. Ni route yangu ya jogging kila mara. Najua sio kwamba wengine tuko na neema zaidi yako. Lakini Mungu ameamua uondoke hivyo. Rest Well Champ😌Mfanyakazi wa benki ya CRDB, Stanley Josiah amefariki dunia akiwa anafanya mazoezi kwenye Daraja la Tanzanite.
Taarifa za kifo chake hicho zimethibitishwa leo Jumamosi Juni 14,2025 na Mkurugenzi wa Mawasiliano
Benki ya CRDB, Tully Mwambapa, alipozungumza na Mwananchi Didital.
Tully amesema mpaka mauti yanamkuta, Josiah alikuwa mkuu wa kitengo cha operesheni za mikopo Benki ya CRDB.
"Benki imepoteza mtu mahiri sana hivyo menejimenti na wafanyakazi inaungana na familia yake katika safari hii ya mwisho," amesema Mwambapa ambaye ameeleza kuwa msiba upo nyumbani kwa marehemu, Tabata Kinyerezi.
"Benki inashirikiana na familia tangu taarifa ya ajali ilipotokea hadi sasa kufanya maandalizi yote muhimu hadi siku ya kumpumzisha mwenzetu kwa taratibu tulizojiwekea kama benki," amesema na kuongeza kuwa, mwili wa marehemu unatarajiwa kupumzishwa Jumanne ijayo Juni 17, 2025 nyumbani kwako huko mkoani Mbeya.
Hata hivyo taarifa ambazo Mwananchi imezipata, zinasema alifika asubuhi mapema ofisini na kuacha gari yake ofisini kwa ajili ya kwenda kufanya mazoezi ya kukimbia.
Chanzo hicho cha habari kinasema, mara nyingi hufanya hivyo kila siku asubuhi.
View attachment 3368481
Kifo ni hakikaxumanyoko toa pole kwanza halafu urudi baadae....
RIP
Nimesoma nikahisi mimi ndio kichwa kigumu, hii taarifa ipo ipo tu!Haijasemwa kama ametumbukia, amejirusha, ameanguka ghafla n.k
Au kuna wahuni walimlia timing asubuhi mapema wakafanya yao
Au
Au
Au
Watanzania dont jump into conclusion
Phrace ''hata hivyo'' inavyotumiwa kwenye habari na hawa waandishi uchwara inatia kichefuchefu. Yaani wanalazimisha bila kujali maana. Elimu ya kukariri.Poleni sana atakua alikua anaumwa labda akajua mazoezi yangemponya.
HahaaaaaPoleni sana atakua alikua anaumwa labda akajua mazoezi yangemponya.
Pole nyingi kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki pamoja na Taasisi nzimanya CRDB. Ahadi ya Mungu imetimia Kwake. Bado kwetu tu. Mwenyezi Amrehemu Jamaa.Mfanyakazi wa benki ya CRDB, Stanley Josiah amefariki dunia akiwa anafanya mazoezi kwenye Daraja la Tanzanite.
Taarifa za kifo chake hicho zimethibitishwa leo Jumamosi Juni 14,2025 na Mkurugenzi wa Mawasiliano
Benki ya CRDB, Tully Mwambapa, alipozungumza na Mwananchi Didital.
Tully amesema mpaka mauti yanamkuta, Josiah alikuwa mkuu wa kitengo cha operesheni za mikopo Benki ya CRDB.
"Benki imepoteza mtu mahiri sana hivyo menejimenti na wafanyakazi inaungana na familia yake katika safari hii ya mwisho," amesema Mwambapa ambaye ameeleza kuwa msiba upo nyumbani kwa marehemu, Tabata Kinyerezi.
"Benki inashirikiana na familia tangu taarifa ya ajali ilipotokea hadi sasa kufanya maandalizi yote muhimu hadi siku ya kumpumzisha mwenzetu kwa taratibu tulizojiwekea kama benki," amesema na kuongeza kuwa, mwili wa marehemu unatarajiwa kupumzishwa Jumanne ijayo Juni 17, 2025 nyumbani kwako huko mkoani Mbeya.
Hata hivyo taarifa ambazo Mwananchi imezipata, zinasema alifika asubuhi mapema ofisini na kuacha gari yake ofisini kwa ajili ya kwenda kufanya mazoezi ya kukimbia.
Chanzo hicho cha habari kinasema, mara nyingi hufanya hivyo kila siku asubuhi.
View attachment 3368481
Walikuwa wanaenda kuanua sofa kwa mdauBomu Hilo kutoka kwa wateja
Maafisa mikopo sio watu
Kuna namna ya kufanya mazoeziMagonjwa ni mengi sasa, usione watu wanafanya mazoezi ukajua ni fashion, watu wanapambana na magonjwa bro. Kubwa ni kufanya mazoezi maeneo tengwa lkn kuacha mazoezi ni risk kubwa zaidi!
Jana nimekwepa mtu fulani vibaya, kavaa tight imebana afu anakimbia hovyo mbele yangu. nadhani wawe makini.Watu wanakimbiakjmbia bila mpangilio,maZoezi ni kama yamevaniwa sahvi
Anyway poleni
Ova
Kuna vitu hutakiwi kuvikimbilia kupima hovyo, unaweza pewa jibu baada ya vipimo ndo ikawa mwanzo wa matatizo mpaka unakufaNdivyo alivyosema janabi,pima moyo kwanza