Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,538
- 21,664
Sasa mbona hata wenye pressure wanashauriwa kufanya mazoez?Muhimu sana kucheki pressure. Kufanya jogging sio jambo la lazima kwa kila mtu kulifanya muda mwingine ni vema kufanya mazoezi ya viungoa madogo madogo kama kustrech then unafocus na maswala ya chakula tu. Muhimu ni kubalance diet yako mazoezi si lazima kukimbia hata kutembea ni mazoezi mazuri sana.
Jamaa amegongwa na gari na mlevi, ajali zitokanazo na uzembe hueza kumkuta yyt hata anayeenda kuabudu!....Kuna namna ya kufanya mazoezi
Taratibu zake...
Ova
Khanji unazingua ujueHilo tumbo anaonekana ni mdau wa supu za mapupu
R.ip brother
RIP broMfanyakazi wa benki ya CRDB, Stanley Josiah amefariki dunia akiwa anafanya mazoezi kwenye Daraja la Tanzanite.
Taarifa za kifo chake hicho zimethibitishwa leo Jumamosi Juni 14,2025 na Mkurugenzi wa Mawasiliano
Benki ya CRDB, Tully Mwambapa, alipozungumza na Mwananchi Didital.
Tully amesema mpaka mauti yanamkuta, Josiah alikuwa mkuu wa kitengo cha operesheni za mikopo Benki ya CRDB.
"Benki imepoteza mtu mahiri sana hivyo menejimenti na wafanyakazi inaungana na familia yake katika safari hii ya mwisho," amesema Mwambapa ambaye ameeleza kuwa msiba upo nyumbani kwa marehemu, Tabata Kinyerezi.
"Benki inashirikiana na familia tangu taarifa ya ajali ilipotokea hadi sasa kufanya maandalizi yote muhimu hadi siku ya kumpumzisha mwenzetu kwa taratibu tulizojiwekea kama benki," amesema na kuongeza kuwa, mwili wa marehemu unatarajiwa kupumzishwa Jumanne ijayo Juni 17, 2025 nyumbani kwako huko mkoani Mbeya.
Hata hivyo taarifa ambazo Mwananchi imezipata, zinasema alifika asubuhi mapema ofisini na kuacha gari yake ofisini kwa ajili ya kwenda kufanya mazoezi ya kukimbia.
Chanzo hicho cha habari kinasema, mara nyingi hufanya hivyo kila siku asubuhi.
View attachment 3368481
Oyaaa tuma location tuje kula ubwabwaNipo msibani hapa nawakilisha JF.
Hata hivyo ungeuliza ni nani hasa!Kulikuwa na umuhimu gani kusema "mfanyakazi wa CRDB"?
Kwani hana jina?Hata hivyo ungeuliza ni nani hasa!
Kufa kufaana. Kuna fursa ya nafasi yake ya kazi hapo CRDB lazima ijazweKulikuwa na umuhimu gani kusema "mfanyakazi wa CRDB"?
Upuuzi mtupuKufa kufaana. Kuna fursa ya nafasi yake ya kazi hapo CRDB lazima ijazwe
Ndo nimefika hapa namshikilia secretarybird hajiwezi, tupo hapa karibu na wafanyakazi wa CRDB BANKNami nipo, umekaa pande ipi? Nimevaa kaunda suit, tujuane basi.
Leo hujatupa nondo Kuna watu wanatafuta presha sukari jioni ya leo kumbi za harusi hukoUpuuzi mtupu
Wanayakumbatia mabomuLeo hujatupa nondo Kuna watu wanatafuta presha sukari jioni ya leo kumbi za harusi huko
So sad, umakini unahitajika barabarani wakati wa mazoezi kwani barabara ina mengi walevi, ma'learner, wenyemawazo n.kKuna wadau mna comment kama kuku walio katwa vichwa,alikuwa anafanya mazoezi mlevi kam gonga na gari. Kama mmesoma vizuri ni utaratibu wake wa kila siku kufanya mazoezi asipate cardiac arrest alipo anza aje apate amesha zoea mazoezi?
Kwani jina pekee linaweza kumtambulisha mtu?Kwani hana jina?
wape pole wote,Nipo msibani hapa nawakilisha JF.