MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Mwanzoni mwa miaka ya 90 Tanzania ilimpoteza mwanariadha nyota marehemu Simon Naali kwa kugongwa na gari mazoezini. Angalau sasa hivi vijana wa riadha wanakuwa na magari yanayowafuata huku kukiwa na mpigapicha. Pia huwezi kuona staa wa riadha anafanya mazoezi mjini. Huwa wanatoka nje ya mji. Wakiwa mjini utawakuta uwanjani. Hawa wenzangu ambao sio professional hujiendea bila tahadhari yoyote hasa sehemu za mijini.Watu wanakimbiakjmbia bila mpangilio,maZoezi ni kama yamevaniwa sahvi
Anyway poleni
Ova
Utasikia my honey, babe wana uchumba ten yrs na ndo wameoana Leo,Wanayakumbatia mabomu
Alitakiwa kusemaje hapo, ππ€£π€£.Phrace ''hata hivyo'' inavyotumiwa kwenye habari na hawa waandishi uchwara inatia kichefuchefu. Yaani wanalazimisha bila kujali maana. Elimu ya kukariri.
Usipende kuguess Maisha ya watu .... Apumzike kwa amaniPoleni sana atakua alikua anaumwa labda akajua mazoezi yangemponya.
Nimelia sana mkuu.Ndo nimefika hapa namshikilia secretarybird hajiwezi, tupo hapa karibu na wafanyakazi wa CRDB BANK
Ok,fanya bila kupimaKuna vitu hutakiwi kuvikimbilia kupima hovyo, unaweza pewa jibu baada ya vipimo ndo ikawa mwanzo wa matatizo mpaka unakufa
Ni ujinga tu kutafuta kiki hadi kwenye misibaKwani jina pekee linaweza kumtambulisha mtu?
Hakuna ubaya hapo mkuu, katika uandishi ni muhimu sana kuzingatia haya:-
1. Nini/Nani?
2. Lini?
3. Wapi?
4. Kwanini?
5. Kwa namna gani?
Ukimwi unaua epuka ukimwi ni gonjwa hatari unauaPoleni sana atakua alikua anaumwa labda akajua mazoezi yangemponya.
Hii inatokea ile siku ya kwanza tu...unataka uanze mbio speed 180,Tukiachana na sababu za kifo cha marehemu!!
Kuna kipindi nilianza mchaka mchaka alifajiri kwa mara ya kwanza, nilikimbia speed, kusimama hv kizungu zungu kikali, moyo kama unataka pasuka, nikalala chini nikihisi kufa ππ
Nilirudi home na toyo,wacha niendelee na afya yangu, mwili utajiset wenyewe π