TANZIA Mfanyakazi wa CRDB afariki akifanya mazoezi Daraja la Tanzanite

Nilichogundua huku Jf watu wengi mna comment vitu msivovijua!
Acheni ujuaji!!
Kila mtu anassugest chanzo chake cha kifo !mara heart attack mara bla blaaa!!
Yani kila mtu anajiandikia anachokijua!!
Toa mwongozo mkuu. Unataka wananzengo wa-comment kiaje? ๐Ÿ˜ณ
 

Tully amesema mpaka mauti yanamkuta, Josiah alikuwa mkuu wa kitengo cha operesheni za mikopo Benki ya CRDB.๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ
 
Wapendwa nafikiri kuna mapungufu kidogo ya kiuwakilishaji wa taarifa kitu ambacho kimepelekea baadhi ya wachangiaji kuja na comment zisizopendeza zikiwemo zenye viashiria vya kikejeli , ilivyo ni kwamba huyu marehemu aligongwa na gari akiwa mazoezini na ndicho kilichopelekea umauti wake.
 
pole kwa familia ya wafiwa MUNGU awape nguvu kipindi hiki kigumuu cha kuondokewa na mpendwa wao
 
Tuzingatie ushauri wa Pro. JANABI; Usifanye mazoezi bila kujua afya yako.
 
Ulikuwa na pupa Mkuu.

Mazoezi sio mabaya kama inavyoaminishwa. Kiukawaida unapoenda gym au sehemu ya mazoezi inatakiwa uanze na mazoezi mwepesi ya kushtua misuli ya mwili.

Yaani kama ni kukimbia unaanza na kutembea kwanza then unaongea mwendo taratibu mwishowe unakimbia mwili unakuwa unapokea mabadiliko kiutaratibu.

Mwili sio mashine ya kusaga kusema uwashe tu na kazi ianze chapu.
 
nakumbubuka mwaka 2021 mwishoni baaada corona kuwa inaishaisha kulikuwa na ofa bomba sana za hoteli mana zilikuwa zinepigika tulipata ofa maojawapo kwa beichee hoteli pamoja na kuoanda mlima kirimanajalo
mm nilikataa kupanda mlima KIRIMANJARO 7bu jinsi afya yangu ilivyo nikajua nikisema nifate sifa mkumbo tena mbele ya mademu ningekufa wenzangu wakapanda me nikabaki
haya mambo yanahitaji kujipima kuona unaweza
sio unafanya mambo kwa sifa na fasheni
mana sasa hivi hiyo marathon imekuwa kama fasheni sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ