Mfanyakazi wa ndani akamatwa akituhumiwa kumuua mama, wanaye wawili

RRa
Rais aliyenyonga wafungwa wengi ni mwinyi na tangu alipotoka madarakani hakuna mfungwa aliyenyonga Tena gerezani hapa tu.
 
Acha kuamini story za vijiweni. Yule mnyongaji aliuestaafu juzi juzi hukumsikia?
Kwa taarifa yako mtu ambaye hakusaini Ni Mkapa tu sema na yeye kule Zanzibar 2001 na yeye alijuta yaliyotokea.
Omera Watu wananyongwa.
 
Nashauri mtuhumiwa apimwe akili.

Uwezi ukawa na akili timamu ukatoa uhai wa mtu mwa ajili simu,tv na king'amuzi.

Asiye na akili timamu hawezi kuua. Huyu anajua alichokifanya ndo maana akakimbia.

Hawa dawa yao ni kuwaua nao tena kikatili kabisa.
 
Niliishi Dodoma miaka hiyo. Mzee Ruksa aliidhinisha adhabu hii kwa baadhi ya watuhumiwa wa mauaji.
 
Matukio kama haya ukikurupuka unaweza kumuhukumu huyu mlinzi lakini trust me KUNA MENGI NYUMA YA PAZIA KWENYE HILI TUKIO...!!! Nafsi yangu inagoma kabisa kumuhukumu huyu mlinzi pekee..
Kwanini nafsi yako inashindwa kumhukumu muuaji huyu wa kinyama?
Ndio shida yetu watanzania ipo hapo na ndio maana matukio ya kikatili kama hili hayatakuja isha hapa Tanzania kwa hizi roho kama yako

Muuaji huyu ingependeza analazwa kwenye barabara ya lami halafu linapitishwa lile tingatinga la kusindilia barabara juu ya mwili wake likianzia miguuni na kupanda taratiiiiiibu kuelekea kiunoni na kumalizia kichwani
 
Imeandikwa
Usihukumu utahukumiwa
 
Imagine katiba ilijionesha makucha yake awamu ta 5. Think twice
 
Imeandikwa
Usihukumu utahukumiwa
Ndugu ni kweli na mimi ni mkristo lakini inapobidi kumaliza au kupunguza tatizo nivizuri kuonyesha ukali
Hivi unajua wenzetu waarabu au wachina hawanaga hii ngoja ngoja

Mfano tu swala la wizi...

Nchi kama Oman hakuna kazi ya walinzi, maana yake nini kule ukifunga kama ni duka jioni wewe unaenda kulala nyumbani fresh asubuhi unakuta kila kitu salama na ni hivyo miaka yote
 
Tuishi vizuri na watu hasa hawa wanaotusaidia kazi majumbani jamani kilichotekea kina funzo kubwa sana
 
Huu ukatili sijui utaisha lini, si kwa mahousegirl/houseboy na wamama wa nyumbani



πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ”₯πŸ”₯
 
Hawa watu wanaofanya mauaji ya hivi hua Wana hali flani ya kutokua na hisia ya huruma na watu wengine nadhani.napenda Sana kuangalia chanel ya ID. Mule kuna ya kujifunza mengi Sana kuhusu hawa pschophants.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…