Mfanyakazi wa ndani akamatwa akituhumiwa kumuua mama, wanaye wawili

Mfanyakazi wa ndani akamatwa akituhumiwa kumuua mama, wanaye wawili

Haya mauaji siyo bure. Polisi wambane marinda huyo bwege atatema story yote.

Huwezi kutoa roho za watu kwa kisa cha Tv, Simu, King'amuzi na Remote.

Huyu kesi yake iwe public na siyo closed court.

Mshenzy kabisa
 
Back
Top Bottom