Mfanyakazi wa ndani akamatwa akituhumiwa kumuua mama, wanaye wawili

Mfanyakazi wa ndani akamatwa akituhumiwa kumuua mama, wanaye wawili

Inasekanaa kijna yule alizingua baada ya maama kumnyima pesa kwani mume alipo fariki kijana yule alijimilikisha mkee wake na mam yule kukubali kutinduliwa na kijana yule tokea hapo ..... Sasa Nina wasiwasi labda kijijini ndio kausika na kifo cha mume
 
Inasekanaa kijna yule alizingua baada ya maama kumnyima pesa kwani mume alipo fariki kijana yule alijimilikisha mkee wake na mam yule kukubali kutinduliwa na kijana yule tokea Apo ..... Sasa Nina waswas lbda kijn ndio kausika na kifo Cha mume
Andika vizuri basi mbona vijana mmekuwa wa ajabu siku hizi? Na ukute ni mwanaume kabisa🤷
 
Hawa watu wanaofanya mauaji ya hivi hua Wana hali flani ya kutokua na hisia ya huruma na watu wengine nadhani.napenda Sana kuangalia chanel ya ID. Mule kuna ya kujifunza mengi Sana kuhusu hawa pschophants.
No,ngapi DSTV Mkuu?
 
Huu ukatili sijui utaisha lini, si kwa mahousegirl/houseboy na wamama wa nyumbani

🇦🇷🇦🇷🇦🇷🇹🇿🔥🔥
No dhana yako kuna watu wengi wanaishi vizuri tu na hao watu , mpaka watoto wanalia wakiwa hao benki tatu anaondoka au anafukuzwa kwa kudokoa
 
Inahuzunisha na kuogopesha pia.

Nionavyo Mahakama itende haki, tena watu kama hao mashauri yao hayapaswi kucheleweshwa ili mbivu na mbichi zijulikane, na kama kipo cha kujifunza na wengine wajifunze ili kupunguza haya mambo.
 
Si kweli. usimshuhudie uongo jirani yako. Lakini ndugu unapata faida gani kumnenea uongo Marehemu? Kisa likes za JF?

Hausi boy hakua na uhusiano na marehemu, mjane alikua na boyfriend wake mtu mzima tu. Mume alifariki akiwa SA
Inasekanaa kijna yule alizingua baada ya maama kumnyima pesa kwani mume alipo fariki kijana yule alijimilikisha mkee wake na mam yule kukubali kutinduliwa na kijana yule tokea Apo ..... Sasa Nina waswas lbda kijn ndio kausika na kifo Cha mume
 
Hii sheria ya mpaka Raisi atie saini ndo inatuchelewesha sana tungekuwa na wabunge waerevu wangependekeza Saini ya kunyongwa ibadilike awe anasaini ata Mkuu wa Magereza wa nchi ssa jitu kama ilo likihukumiwa kunyongwa litakua halina cha kupoteza litaenda kula bata tu uko gerezani INASIKITISHA SANA
Huwezi nyonga nyonga tu bila utaratibu. Ukishanyonga umenyonga, dunia ina mambo mengi sana, kuna matukio yameshawahi kutokea huko nyuma ya watu kunyongwa bila hatia. Unapewa kesi unanyongwa halafu baadae inajulikana hukua na hatia.
 
Hii sheria ya mpaka Raisi atie saini ndo inatuchelewesha sana tungekuwa na wabunge waerevu wangependekeza Saini ya kunyongwa ibadilike awe anasaini ata Mkuu wa Magereza wa nchi ssa jitu kama ilo likihukumiwa kunyongwa litakua halina cha kupoteza litaenda kula bata tu uko gerezani INASIKITISHA SANA
Mh kumbe gerezsni nako Kuna kula Bata!
 
Hiyo inatekelezwa kama kawaida sema nchi yetu hii mambo hayo yanafichwa fichwa maana humu kuliwahi kuletwa uzi na member mmoja barafu askari magereza mmoja mstaafu akieleza alivyofanya kazi hiyo kwa miaka 32 toka 1984 hadi 2006 alipostaafu na alieleza alikuwa akilipwa posho kila alipomaliza jukumu lake alisema miaka 80 alikuwa akilipwa 700 baadae miaka ya 90 ilipanda hadi 5,000 na mwanzoni mwa 2000 posho ilipanda hadi 50,000 na alieleza kwamba alikuwa akisafiri mikoani kwenda kutekeleza majukumu yake.
Ya kunyonga watu?!
 
Tanzania hakunaga kunyongwa wewe.
Death sentence zinatoka lakin mpaka raisi asaini hati ya kifo.
Nasikia tangu Nyerere ang'atuke hakuna raisi aliyethubutu.
Wafungwa wanakula maisha tu.

Halafu unajua ukihukumiwa kifo hufanyi kazi yoyote gerezani? Yani wewe ni kula good time mpaka upate natural death.
Daa!! Kumbe wana enjoy tu
 
Hii sheria ya mpaka Raisi atie saini ndo inatuchelewesha sana tungekuwa na wabunge waerevu wangependekeza Saini ya kunyongwa ibadilike awe anasaini ata Mkuu wa Magereza wa nchi ssa jitu kama ilo likihukumiwa kunyongwa litakua halina cha kupoteza litaenda kula bata tu uko gerezani INASIKITISHA SANA
Itakuwa hata ukigombana na mtu bar tu au ukimzidi kete kwenye ushindani wa kupata mbuchuchu, unabandikwa kesi ya mauaji inagongwa sahihi chap unakula umeme fastafasta, hadi haki ije ijulikane ilikuwa kwako utakuwa umebaki mifupa ardhini
 
Back
Top Bottom