Mfanyakazi wa ndani auawa Uarabuni na mwili wake kutupwa chini ya gari

Mfanyakazi wa ndani auawa Uarabuni na mwili wake kutupwa chini ya gari

Roho ya binadamu ni ngumu kuliko ya mnyama,na inasemekana binadamu ni hatali kuliko mnyama.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mnyama unaweza kumkimbia lakini binadam awezi mkimbia akitaka kukupeleka kuzimu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kuna ambae ni jirani wamempiga mande karudi wamekula Pande zote nikimuangalia naona aibu mimi
 
Wanawake wanaofanya kazi za ndani uarabuni ni watumwa wa kisasa au wa hiari. Aidha nchi za kiafrika ziweke taratibu au utumwa huu kwa ujira kidogo utaendelea.
 
Back
Top Bottom