Mfanyakazi wa ndani auawa Uarabuni na mwili wake kutupwa chini ya gari

Mfanyakazi wa ndani auawa Uarabuni na mwili wake kutupwa chini ya gari

Nyie wengine munachukulia poa sana, Kutoka kulipwa elfu 50 bongo mpaka kulipwa kilo 6 uarabuni wengine wanakula mpaka 7 nyinyi munalichukulia poa sana hilo?. Utamu zaidi msosi wa maana bure, intenet bure, na wakirudi na mazagazaga kibao ya kugaiwa mtaani mtu anakua Boss lady kabisa mpaka jirani wa nyumba ya 10 anakuja kukutembelea. Hujaongezea kua ndio njia pekee dada zetu wa uswahili kupata nafasi za kupanda mapipa.

Acha waendelee kujirembea tu, mengine ni ajali kazini.
 
wanapenda sana dhuluma.

Waafrika akili zetu twazijua wenyewe tu,,,,mtu mmoja akifanya kosa jamii nzima inajumuishwa. Ndiomaana hii ngozi nyeuc inapitia misukosuko mingi sana, mitihani mingi ina2pata bila kujijua wapi twakosea, umackini hautaisha kama 2taendekeza huu ujinga. Someni dini, Qur'an haijaacha kitu.
 
Mkuu,ucwaone wengine humu wanalalama ni wivu na kutowatakia kheri mabinti wanaofanya kaz uarabuni ilhali wao hapa wanashindia mlo mmoja kwa siku kama jioni ni jioni tu mpaka keshoyake.
 
Waafrika akili zetu twazijua wenyewe tu,,,,mtu mmoja akifanya kosa jamii nzima inajumuishwa. Ndiomaana hii ngozi nyeuc inapitia misukosuko mingi sana, mitihani mingi ina2pata bila kujijua wapi twakosea, umackini hautaisha kama 2taendekeza huu ujinga. Someni dini, Qur'an haijaacha kitu.
nini maana ya neno quran?
 
Sio swala la hisia tu ni uhalisia waarabu ni dhulumati mno na wanadharau mno, ni jambo ambalo nimeshuhudia wala sio kusimuliwa.
 
Baadhi ya maandiko yanaruhusu utumwa,ukienda ukakaubali kuwa mfanyakazi wa ndani.moja kwa moja wewe ni mtumwa.na waweza kutendewa lolote na mmiliki na si dhambi kwa mujibu wa baadhi ya maandiko. Na Imani zao.
Serikali zao hazichukui hatua kwa kuwa kwao ni Bora raia wao kuliko mgeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kama lakini unakoelekea cvyo,,, kwahiyo ni fahari kubwa kuwasema vibaya na kuwachukia waislamu wenzio kwa wasio waislamu?

Nitakupa mfano,,,itokee katika mtandao wowote wa jamii baina ya waarabu/waislamu na wazungu/makafiri halafu hao waarabu watuseme vibaya cc waislamu wenzao wakiafrika kwa hao wazungu, je tutapendezewa kufanya kwao ivyo? Au utajickiaje muislamu mwenzio anakuchukia na kukusema mbele za wazungu waco waislamu!! Bac na wao ivyo ivyo hawatajickia kwako wewe na wenye msimamo kama wako, na c hivyo tu tunapaswa tupendane, tushirikiane na tuhurumiane
na c kuchukiana na kuwapa faida manaswara" gan,,,, "Hawatakuwa radhi mayahudi na manaswara mpaka mfuate mila zao"

Mimi nakushauri 2, tuusomeni uislamu tuuelewe kwa upana zaidi,,na tusiwe upande wa manaswara kuwachukia na kuwasema vibaya waislamu wenze2 hata kama ame2kosea namna gan,,,,

Allah akuongoze ukhti,,kama nitakua nimekukosea nisamehe
Sawa
 
Wewe ni muislamu safi au muislamu jina? Naona kama unawasapoti manaswara, hii imekaaje dada?
Mkuu ni nini maana ya hilo neno MANASWARA naomba unisaidie tafadhali

Don't give up[emoji123]

Tomorrow is the new day [emoji120]
 
Back
Top Bottom