Wiki Loves Africa: Share pictures of "Africa on the Move or Transport" with the entire world and win great prizes!
[Tusaidie kutafsiri!]
Lebanoni
LanguageDownload PDFFuatiliaEdit
Lebanoni (kwa Kiarabu: لبنان ) ni nchi ndogo ya Mashariki ya Kati katika Asia ya Magharibikando ya Bahari ya Mediteranea.
الجمهورية اللبنانية
Al-Jumhūriyyah al-Lubnāniyyah
Jamhuri ya LebanoniBenderaNemboKaulimbiu ya taifa: Kūllūnā li-l-waṭan (Kiarabu)
"Sisi sote kwa ajili ya taifa"Wimbo wa taifa: Kulluna lil-watanMji mkuuBeirut
33°54′ N 35°32′ EMji mkubwa nchiniBeirutLugha rasmiKiarabu(na zamani Kifaransa)Serikali
Rais
Waziri mkuu
Jamhuri
hajachaguliwa
Tammam SalamUhuru
Ilitangazwa
Ilitambuliwa
26 Novemba 1941
22 Novemba 1943Eneo
- Jumla
- Maji (%)
10,452 km² (ya 166)
1.8Idadi ya watu
- 2015 kadirio
- Msongamano wa watu
5,851,000 (ya 112)
560/km² (ya 21)FedhaLira ya Lebanon (LL) (LBP)Saa za eneo
- Kiangazi (DST)EET (UTC+2)
EEST (UTC+3)Intaneti TLD.lbKodi ya simu+961
-
Imepakana na Syria na Israel.
Jiografia
Miji
Historia
WatuEdit
Zaidi ya nusu ya wakazi hukaa katika rundikola jiji la Beirut.
Wenyeji wana damu mchanganyiko sana, lakini lugha ya kawaida na lugha rasmi ni Kiarabu.
Kati ya nchi za Waarabu Lebanoni ni nchi pekee yenye wakazi wengi ambao ni Wakristowa madhehebu mengiː walau ilikuwa hivyo hadi miaka ya karibuni, kabla ya vita vya wenyewe kwa wenyewe kuzuka.
Ni kwamba zaidi ya nusu ya Walibanoni wote wamehamia nje ya nchi, wakiwemo hasa Wakristo.
Kinyume chake, nchi imewapokea wakimbizizaidi ya milioni 1.
Makadirio ya mwaka 2014 yanadai kwa sasa 54% ni Waislamu (27% Wasuni na 27% Washia), 40.5% ni Wakristo (21% WakatolikiWamaroni, 8% Waorthodoksi Wamelkiti, 5% Wakatoliki Wamelkiti, 1% Waprotestanti), 5.6% ni Wadruzi n.k.
Tazama pia
Viungo vya nje
Last edited 2 years ago by Riccardo Riccioni
RELATED PAGES
Beirut
Milima ya Lebanoni ndogo
Historia ya Lebanoni
Nakala inapatikana chini ya Creative Commons Attribution/Share-Alike License; masuala ya ziada yanaweza kukubalika. Tazama Masharti ya Utumiajikwa maelezo zaidi. Wikipedia ni nembo iliosajiliwa na Wikimedia Foundation, Inc., asasi isiyokuwa ya kifaida.
FaraghaDawati
Unapoweka
Sent using
Jamii Forums mobile app