Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Mwingine huyo aongelea vitu kiujumla jumla.
Kutofautiana malipo inategemea na mikataba na maajenti wanao wapeleka huko. Katika dunia ya sasa, maajenti ktk kila fani huwa wanawalalia watu. Kiwango cha kulalia kinatofautiana toka nchi moja hadi nyingine.
Hata kazi nyinginezo ktk nchi nyinginezo zilizoendelea zaidi, nimeshuhudia muafrika akifanya kazi A na mzungu afanya kazi A lakini malipo yao ni tofauti kabisa.
Hata nchini Tanzania, daktari mtanzania bingwa anayetibu hospitali B, na kisha akawepo daktari (pengine hata hajakamilishamafunzo hayo kwao) mzungu akitibu hospitali hiyo hiyo B, lakini malipo huwa wanatofautiana, umbali wa mashariki na magharibi, mzungu apendelewa, tena na taasisi za waafrika. Naongea hili kwa uzoefu wangu.
Nchi zote za waarabu ni wanyama? Kauli za hivi hazitoki ila kwa mtu mpumbavu.
-Hivi ni kipi ambacho waarabu wakifanya halafu waafrika wao kwa wao hawafanyiani?
-Si ndio nyie mwauana kwa kumiminiana risasi kwa tofauti tu za mitazamo
-Si ndio nyie mwaua watu kwa halaiki mkidhani ima mtusi ni bora au muhutu ni bora yamwingine?
Point ya msingi uliyoongea hapo ni moja tu; kutokubali mabinti kwenda fanya kazi za ndani huko uarabuni.
Mifano halisi ya waafrika kwa wafrika.
1. Mauaji ya halaiki ya waafrika kwa wiafrika huko Rwanda (watu laki nane; 800,000 waliuawa ndani ya siku 100 tu, yaani wastani wa watu 8,000 waliuawa kwa siku?!)
View attachment 1399046
2. Huko Burundi nako hawakuwa nyuma waafrika ktk kuuana kwa idadi za juu kabisa, bila kujali jinsia, mtoto mchanga wala mimba.
View attachment 1399036
Umemaliza,,,,anawaita waarabu wanyama kama co binadamu vile,,,halafu mzungu aki2ita sokwe 2nachukia 😁
Hoja wanazoleta ni za kipumbavu kabisa,,,hazina mantiki yoyote.